Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Hadi jeshini wanapigwa mtu mbad ππππ.. zile za jeshi famba, huwa nazitamaaa hazina kabisa ule u G wagon wenyewe. Kuna Padre wangu mmoja miaka ya nyuma alikuwa nayo hii G wagon yenyeweIna maana yale sio mjerumani yale kumbe!?πππ mi huwa nahisi ni model za 1990 zile
Hatari sana hiyo bei... mimi kama nigger hapa kansas city Missouri nanunua nyumba cash, no down payment..Hio nafuu mzee sema tu nimekuja gundua hii gari imetengenezwa na mfumo special wanadai ni kama millitary car ndio maana bei zake ni mkasi! Latest model ime clock $157,500 mzee
Hizo Sawa. Ukipata Ile unaweka hela kidogo inafanana na latest yake unapata heshima kama zote.Zile za zamani zamani zinaonekana kama matoleo ya miaka ya 90 zile ukiiona ni benzo kabisa yani! G Class
Heheheh kama hadi wanajeshi wanatumia simba wa kuchora πππ basi ni balaaHadi jeshini wanapigwa mtu mbad ππππ.. zile za jeshi famba, huwa nazitamaaa hazina kabisa ule u G wagon wenyewe. Kuna Padre wangu mmoja miaka ya nyuma alikuwa nayo hii G wagon yenyewe
Dats ma dream SUVShangwe tu anaishi nayo same color, mchaga mmoja hivi
Dont tryna put me in a 30 year payment plan...thats for suckaz πππ !!!Hatari sana hiyo bei... mimi kama nigger hapa kansas city Missouri nanunua nyumba cash, no down payment..
Tundelee kupambana tutimize vyote tunavyovihitaji kwa uweza wake Allah
Umeona hiyo black...$ 20,412= Tsh 47M na kitu bado KodiView attachment 1842145
Hizi hapo, ukitulia ukachanganya karata zako.. mbona una nyongo ndinga hiyo.. kama una kipata kizuri kwa mwaka, ni miaka yako mitano tu.. unavuta hapo hata kufa itakuwa bado [emoji846][emoji846]
π€π€π€ tupeana tu moyo, maana hata mimi Naitaka BMW M5, baada ya E350 AMG, then Audi A8 Sportback nayo naitaka, na ninaitaka pia RS6 na hata Golf R.. naendelea kuota tu ..madam kuota ni bure na kujipa moyo ni bure piaMkuu usisahau Mtanzania wa kipato cha Kati chini gari yake CIF haizidi $3000
Itakuwa, wanyaki manunda sana[emoji16]Itakuwa vijana wa mkurugenzi wa TPA wameshafanya yao [emoji28][emoji28][emoji28] wakishirikiana na Majembe Auction Mart!
Black imetulia kinoma noma, heshima hiyo eeh! Ndio jiongeze uipate hiyo hela, punguza matumizi,ongeva ku save zaidi.. ili utimize ndoto zakoUmeona hiyo black...$ 20,412= Tsh 47,258 na kitu bado Kodi
We unacheza wewe
In short kama unatenga $20,000 unaendesha European car nzuri na latest sana. Tunakomaa na magari ya zamani bure tu. Ukijipangia malengo yako hushindwiπ€π€π€ tupeana tu moyo, maana hata mimi Naitaka BMW M5, baada ya E350 AMG, then Audi A8 Sportback nayo naitaka, na ninaitaka pia RS6 na hata Golf R.. naendelea kuota tu ..madam kuota ni bure na kujipa moyo ni bure pia
Unafanaya masihara na ku save 50M wewe kwa vipato vyetu vya unga unga mwana πππ bado ujapigiwa simu mjomba wako kameza wembe huko SIMIYU mchango wa kumpeleka India!Black imetulia kinoma noma, heshima hiyo eeh! Ndio jiongeze uipate hiyo hela, punguza matumizi,ongeva ku save zaidi.. ili utimize ndoto zako
Hapo sawa hela huna na kuota ushindwe[emoji16][emoji2960][emoji2960][emoji2960] tupeana tu moyo, maana hata mimi Naitaka BMW M5, baada ya E350 AMG, then Audi A8 Sportback nayo naitaka, na ninaitaka pia RS6 na hata Golf R.. naendelea kuota tu ..madam kuota ni bure na kujipa moyo ni bure pia
Kuna aids usisahau kuvaa gloves .. wakati wakuchora hizo tattoosKuna msemo unasema majaribu ni mtaji mkuu.. kama chance ipo nipe pande tu
Aaah wapi ngoja niendelee kuota tu, kuota na kusema mdomoni kuwa ntalimiliki ni bure silipii[emoji1787][emoji1787][emoji16]Black imetulia kinoma noma, heshima hiyo eeh! Ndio jiongeze uipate hiyo hela, punguza matumizi,ongeva ku save zaidi.. ili utimize ndoto zako
π€π€π€ NanaNgoja nione. Ungependa ushughulike na yupi kwa hawa ma celeb wa kike wiki hii zipo order zao mkuu
Huyo ananizingua najua ...unajipa moyo vitu ambavyo haviwezekani[emoji848]Unafanaya masihara na ku save 50M wewe kwa vipato vyetu vya unga unga mwana [emoji23][emoji23][emoji23] bado ujapigiwa simu mjomba wako kameza wembe huko SIMIYU mchango wa kumpeleka India!
Kwa kweli tuna hali ngumu hio pesa kuichop kizembe ni ngumu!Huyo ananizingua najua ...unajipa moyo vitu ambavyo haviwezekani[emoji848]
Hata ukisave hiyo 50M lazima ubadilishe gia angani[emoji16]
Kununua gari expensive inahitaji moyo wa chuma coz kunahitajika hela yote tena cash sio kama nyumba unadunduliza
Dah bro. Ndio anachorwa leo saa 10 jioni[emoji2960][emoji2960][emoji2960] Nana
Hii ni volkswagen Tiguan mkuu sio TourageHii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!
View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909
Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!