Tatizo ukizifikisha hizo hela ujue ni una majanga ya pesa kila kona kiasi kwamba gari inakuwa last option sasa na huwezi kutoa almost 50m uweke mchuma uani[emoji848]In short kama unatenga $20,000 unaendesha European car nzuri na latest sana. Tunakomaa na magari ya zamani bure tu. Ukijipangia malengo yako hushindwi
Mafckn tryna fck with my credit card score ..ummh.. they ain't go do that sh!t..to meDont tryna put me in a 30 year payment plan...thats for suckaz 😂😂😂 !!!
Nakubali mzee
Malengo tu mkuu, ndio maana nimejiwekea malengo yangu toka mwezi wa kwanza au kuvuta E350 AMG iliyosimama kweli kabla mwaka huu kwisha. Then yatafatia hayo mengine mwakani navuta ingine M5 japo sio rahisi. Ila inawezekana kama una focusIn short kama unatenga $20,000 unaendesha European car nzuri na latest sana. Tunakomaa na magari ya zamani bure tu. Ukijipangia malengo yako hushindwi
Mkuu matatizo ya watu hayaishi, kama utashindwa ku save kwa ajiri ya matatzio .. basi sahahu kufanikiwa 😀😀😀. Matatizo ya hii dunia yapo kila sikuUnafanaya masihara na ku save 50M wewe kwa vipato vyetu vya unga unga mwana 😂😂😂 bado ujapigiwa simu mjomba wako kameza wembe huko SIMIYU mchango wa kumpeleka India!
Tiguan haiko hivo bana[emoji848]
Si ndo hii hii mkuu au ?Tafta Fanta baridi uondoe hangover hio kwanza [emoji23]
Ila mimi mwaka huu anvuta E350 AMG , kabla hatujamaliza 31 December 2021.. hii ndoto nilianza nayo toka January 😀😀😀😀 haitokuwa fair isipotimilikaHapo sawa hela huna na kuota ushindwe[emoji16]
Tiguan ina bomba upande mmoja while toureag ina bomba mbiliSi ndo hii hii mkuu au ?View attachment 1842181View attachment 1842183
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni gari 2 tofauti mkuu! Tiguan ni mdogo wake TouaregSi ndo hii hii mkuu au ?View attachment 1842181View attachment 1842183
Sent using Jamii Forums mobile app
Gloves za nini tena mkuu.. 😀😀Kuna aids usisahau kuvaa gloves .. wakati wakuchora hizo tattoos
Kila hatua ya mafanikio unaypiga kusonga mbele nimegundua... pesa ni perceived value...Umeona hiyo black...$ 20,412= Tsh 47,258M na kitu bado Kodi
We unacheza wewe
Mkuu cheki diamond mika 15 iliyopita alikuwa wapi, na wewe ulikuwa wapi. Usikate tamaa unaweza mkuu wangu. Usijinyime kitu roho inapenda 🙂🙂Huyo ananizingua najua ...unajipa moyo vitu ambavyo haviwezekani[emoji848]
Hata ukisave hiyo 50M lazima ubadilishe gia angani[emoji16]
Kununua gari expensive inahitaji moyo wa chuma coz kunahitajika hela yote tena cash sio kama nyumba unadunduliza
Kufanikiwa lazima uwe na moyo mgumu sana, na roho ngumu. Mengi unafumba macho tuHahahahah wacha tujitahidi tutafika tu hata kwa mwendo wa kobe!
Mkuu nani anabakia mnipe hata mmoja nipate chochote kitu, njaa itatuuaDah bro. Ndio anachorwa leo saa 10 jioni
Maana hata wazungu wanalipa kidgo kidogo kwa plan..Huyo ananizingua najua ...unajipa moyo vitu ambavyo haviwezekani[emoji848]
Hata ukisave hiyo 50M lazima ubadilishe gia angani[emoji16]
Kununua gari expensive inahitaji moyo wa chuma coz kunahitajika hela yote tena cash sio kama nyumba unadunduliza
Yeah kadri zinavyoongezeka unaanza kuizoea hela! Kipindi huna uwezo wa million ulikuwa unahisi ni kama fortune kuimiliki ila ukifika levels za 10M unaona tena 1M ni kama laki tu! Ukisogea ukafikia kwenye 100Ms unaona hizi za chini ni za kama buku buku hata kwa kumsimulia mtu anaona heee!Kila hatua ya mafanikio unaypiga kusonga mbele nimegundua... pesa ni perceived value...
Kuna mtu laki 5 anaiona kama million..