Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #121
China ina FDI kwa Mexico, kampuni za China zinaweka uwekezaji Mexico na kuzalisha bidhaa za Meixo. Kampuni ya India ikifungua plant Tanzania kuzalisha vipuri, ikaajiri Watanzania bado utasema zile ni bidhaa za India? Sasa unamaanisha China inafanya magendo kupitia Mexico na Marekani haijui
Kwenye ulimwengu wa biashara kuna concept tunaiita repatriation, when a taxpaying entity transfers money earned overseas back to the country where it is based