Volkswagen yafikiria kufunga viwanda vyake nchini Ujerumani, moja ya sababu ni ushindani kutoka China

Volkswagen yafikiria kufunga viwanda vyake nchini Ujerumani, moja ya sababu ni ushindani kutoka China

Attachments

  • Screenshot_20240906_212000_X.jpg
    Screenshot_20240906_212000_X.jpg
    290 KB · Views: 7
Boeing imekuwa ya hovyo sana miaka hii sio kwenye ndege za abiria (aviation) sio kwenye masuala ya vyombo vya angani (space craft)

Mpaka leo wameshindwa kuwarudisha wanaanga wawili ambao walitakiwa wawe huko kwa wiki 1 tu

Taarifa zinasema watarudi February 2025, imagine walienda huko June 2024. Safari ya wiki 1 imekuwa ya miezi 8

Yote ni kwa sababu ya technical issues.
 
Mitsubishi alishafunga plant nchini China na kusepa mazima

Nissan nao mwaka huu wamekusanya virago

Toyota naye anapambana kibishi anapumulia mipira acha tuone

Moto wanaopelekewa na China-based brands sio poa
Mchina anajua sana.
 
Mexico, India na Vietnam zinaweza chukua nafasi ya China kama EU na Marekani wataamua. Kwa kiasi fulani itapunguza wao kuitegemea sana China
Hizo nchi zote ulizotaja hazina highly skilled labour kama China.
Yani hata robo hawawafikii skilled labour wa China.
 
Point haikuwa kulenga viwanda vya magari tu bali uchumi kwa ujumla. Ilitakiwa kwa sasa tuone -ve impacts za vikwazo ilivyowekewa Russia

Ila cha kushangaza licha ya vikwazo ni kwamba uchumi wa Russia unakua kuliko mataifa yote ya Ulaya
uchumi upi wa Urusi unakua ?
 
Mexico, India na Vietnam zinaweza chukua nafasi ya China kama EU na Marekani wataamua. Kwa kiasi fulani itapunguza wao kuitegemea sana China
Mnapeenda kurahisisha rahisisha mambo jamaa kwani unadhani hawapendi iwe Mexico nk naisiwe uchina
 
EU na US wakiamua kumpa nafasi ya China apewe Mexico mtashangaa wote hapa jinsi China itanyooka.

Mexico wapo vizuri pia tena sana halafu mshahara wao kwa wastani ni mdogo mara 3 ya China.
Ndio maana saivi US anamnyanyua India
 
Back
Top Bottom