Kwahiyo najadili na vilaza humu kwamba nilazima nifafanue kila kitu ndio waelewe?
Yani nikizungumzia maji, basi niseme yanatumika kunywa, kutawaza, kuosha vyombo, kumwagilia, kuoga, viwandani, sasa mpaka namaliza si nakesha. Nikisema yanatumika kwa matumizi ya nyumbani, utakuja kunikosoa kulist matumizi mengine kwani nani hajui hilo.
Yeye mwenyewe matumizi ya drones hajayamaliza. So niende kwenye ligi nianze kumfundisha kama tuko shule? Tuanze kufafanua UAV, UCAV, MALE, HALE, strike, UUV, ROV kwani tunaandika PhD