Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #121
China ina FDI kwa Mexico, kampuni za China zinaweka uwekezaji Mexico na kuzalisha bidhaa za Meixo. Kampuni ya India ikifungua plant Tanzania kuzalisha vipuri, ikaajiri Watanzania bado utasema zile ni bidhaa za India? Sasa unamaanisha China inafanya magendo kupitia Mexico na Marekani haijui
Sasa swali lako sijajua ulimaanisha nini.
Kama Trump anaona wivu kwa China kuwekeza Mexico, mbona serikali yake iliwekeza Mexico?
China hana FDI kubwa Marekani, lengo la Trump ni Marekani iwe na FDI kubwa hasa payback kwa ambao pia Marekani imewekeza. Japan unawaona, South Korea unawaona, Canada, UK, Taiwan wote hao wana FDI nzuri Marekani.
China imewekeza $28 billion pekee kwa miaka 20, Marekani imewekeza $127 billion kwa China muda huohuo.
Wakati FDI yote kwa pamoja ndani ya Marekani ni $5.9 trillion. FDI ya Marekani kwenda nchi nyingine ni $6.68 trillion
Usijifariji, ndio kwanza COMAC ina ndege moja kwenye soko la China na wala bado haijawa certified duniani. Boeing ina certified products nyingi kwenye line hivyo chances za kuwa na makosa ni kubwa.
Anza kushangilia COMAC wakiuza nje na wakiwa certified duniani.
Ila we jamaa ni mbishi.Wewe uwezo wako katika kuchambua masuala ya kiuchumi ni mdogo sana
Marekani imeruka jivu imekanyaga moto
Bidhaa nyingi wanazonunua Mexico ni za makampuni ya Kichina yaliyowekeza Mexico
Soma hizi article ambazo ni za Marekani uelewe, New York Times na Bloomberg
View attachment 3088291
Hawa jamaa niliwaambia drones za jeshi, mtu anakuja kusema DJI ya China.Sasa msiwe kama wajinga. Siongei na vilaza humu kwamba ni lazima nifafanue kila kitu. Wenye akili wanachukua concepts tu Pale iliposema DJI, ambao hawatoi military drones nikasema hiyo segment ya civilian drones Marekani hajaikazania ila tukienda kwenye military drones ndio ana msisitizo. Sasa mimi kutoa mfano wa DJI Mavic series tiyari mnataka kuwa wakufunzi wa drones. Logic hamjui, ligi tu mnataka
Wakati mwekezaji anaangalia faida, bado na taifa linaangalia faida. Hivyo kila mtu aone faida ya mwenzake. Marekani au China sio kama Tanzania ambapo wanakuja kuchimba madini na kuacha mashimo huku wanachukua faida kubwa.FDI sio mchezo wa kulipizana kwamba kwa kuwa wewe umekuja kuwekeza kwangu na mimi nije kuwekeza kwako
Mwekezaji anaangalia faida atakazopata atakapoenda kuwekeza nchi nyingine mambo kama production cost, market, skilled personnel n.k yanazingatiwa
Marekani ni ya kwanza kiuchumi duniani. Imewekeza sehemu nyingi sana wala China haifiki hata 5% ya investments za Marekani. Mbona unafanya kama vile China ndio dunia?
Kama Marekani anakimbilia kuwekeza China ina maana ameona China kuna manufaa zaidi akiwekeza kunamlipa
China awekeze nini Marekani ambacho hakipo?
Ya nini China akimbilie kuwekeza Marekani ambapo hata Mmarekani mwenyewe anatoka anaenda China?
Mzee hizi multi quote unajaza uzi tu na kufanya kusiwe na mtiririko sahihi.Mbona COMAC kupitia ndege za C919 tayari ina international airworthness certification
Wakati mwekezaji anaangalia faida, bado na taifa linaangalia faida. Hivyo kila mtu aone faida ya mwenzake. Marekani au China sio kama Tanzania ambapo wanakuja kuchimba madini na kuacha mashimo huku wanachukua faida kubwa.
Marekani kama haioni tena faida ni haki yake kukataa, sio suala la wewe kulazimisha wakubali jambo lisilohitajika.
China awekeze nini Marekani ambacho hakipo?
Mzee hizi multi quote unajaza uzi tu na kufanya kusiwe na mtiririko sahihi.
Comment moja unaijibu mara 10.
Jibu kwenye comment moja tu ueleweke.
China sio kwamba ni wakali kwenye tech kuliko wengine, wale ni population na cheap labor kitu ambacho India, Mexico, Vietnam, Hungary n.k wanaweza chukua hizo nafasi
Hizo Magkev train zenyewe wagunduzi wa mwanzo ni US na Germany.
Ugunduzi mwingi na R&D za maana na EU na US.
Kwa marekani hapo alipofika amna kampuni itakayokeza hapo ikapata faida labda wapewa ruzuku ya usd 1b kila mwaka .hata boing atakimbia mda si mrefuFDI sio mchezo wa kulipizana kwamba kwa kuwa wewe umekuja kuwekeza kwangu na mimi nije kuwekeza kwako
Mwekezaji anaangalia faida atakazopata atakapoenda kuwekeza nchi nyingine mambo kama production cost, market, skilled personnel n.k yanazingatiwa
Kama Marekani anakimbilia kuwekeza China ina maana ameona China kuna manufaa zaidi akiwekeza kunamlipa
Ya nini China akimbilie kuwekeza Marekani ambapo hata Mmarekani mwenyewe anatoka anaenda China?
Kwa marekani hapo alipofika amna kampuni itakayokeza hapo ikapata faida labda wapewa ruzuku ya usd 1b kila mwaka .hata boing atakimbia mda si mrefu
Hawa jamaa niliwaambia drones za jeshi, mtu anakuja kusema DJI ya China.
Marekani ni ya kwanza kiuchumi duniani. Imewekeza sehemu nyingi sana wala China haifiki hata 5% ya investments za Marekani. Mbona unafanya kama vile China ndio dunia?
Unasemaje anakimbilia kuwekeza China ilhali kawekeza kila kona?
Sio itafika ni sasaItafikia hatua dunia nzima tutaitegemea China kwa kila kitu. Uchumi wa China ukiyumba unaathiri uchumi wa dunia nzima.