mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Yanga vs ruvu shooting uwanja wa taifa dar. Ndanda fc ya mtwara vs Simba ya dar uwanja wa Nangwanda hapa mkoani mtwara, kutoka hapa Nangwanda mtakuwa nami reporter wenu mkolaj, na huko taifa mtakuwa na makoye matale akishirikiana na Amavubi, huko Shinyanga Azam fc vs Stand united mtakuwa nae Deo corleon. Karibu sana wadau wote wa mpira miguu. Matokeo, yanga 0-0 ruvu shooting, ndanda fc 0-2 simba, stand united 0-1 azam fc. Kagera suger 0-1 Mbeya city, Mgambo jkt 0-0 Tanzania prisons