VPL: 17 January 2015 live updates

VPL: 17 January 2015 live updates

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,089
Yanga vs ruvu shooting uwanja wa taifa dar. Ndanda fc ya mtwara vs Simba ya dar uwanja wa Nangwanda hapa mkoani mtwara, kutoka hapa Nangwanda mtakuwa nami reporter wenu mkolaj, na huko taifa mtakuwa na makoye matale akishirikiana na Amavubi, huko Shinyanga Azam fc vs Stand united mtakuwa nae Deo corleon. Karibu sana wadau wote wa mpira miguu. Matokeo, yanga 0-0 ruvu shooting, ndanda fc 0-2 simba, stand united 0-1 azam fc. Kagera suger 0-1 Mbeya city, Mgambo jkt 0-0 Tanzania prisons
 
mimi nitakuwa maji maji stadium kushangilia chama letu majimaji!!

kwani ndo timu itakayochukua nafasi ya Simba ambayo inashuka daraja mwaka huu.

simba haitoki hapo gas city
 
Hakika simba hatoki bila kujeruhiwa hapa the gas city wana mtwara wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu tumeungana ili kuhakikisha mnyama hatoki salama kwenye nyika hizi za makonde.
 
tupo pamoja!! salamu simfikie Amavubi na sembo
 
Last edited by a moderator:
mie mripota wenu namkabidhi jungu MM, niko bize kuiandalia Amavubi makao ili ilipo iweze kushinda
Yanga vs ruvu shooting uwanja wa taifa dar. Ndanda fc ya mtwara vs Simba ya dar uwanja wa Nangwanda hapa mkoani mtwara, kutoka hapa Nangwanda mtakuwa nami reporter wenu mkolaj, na huko taifa mtakuwa na makoye matale akishirikiana na Amavubi, huko Shinyanga Azam fc vs Stand united mtakuwa nae Deo corleon. Karibu sana wadau wote wa mpira miguu.
 
vipi ramli imesomaje hapo ntwala, Dar naona wajeshi watachezea wiki
 
Hakika simba hatoki bila kujeruhiwa hapa the gas city wana mtwara wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu tumeungana ili kuhakikisha mnyama hatoki salama kwenye nyika hizi za makonde.
nimeupenda mwandiko wako mzuri
 
Yanga vs ruvu shooting uwanja wa taifa dar. Ndanda fc ya mtwara vs Simba ya dar uwanja wa Nangwanda hapa mkoani mtwara, kutoka hapa Nangwanda mtakuwa nami reporter wenu mkolaj, na huko taifa mtakuwa na makoye matale akishirikiana na Amavubi, huko Shinyanga Azam fc vs Stand united mtakuwa nae Deo corleon. Karibu sana wadau wote wa mpira miguu.

Pamoja sana Mkuu.
 
leo ndala ndefu watajuta kuwafahamu wanajeshi... Yanga leo mnapelekwa uani maana ndio sehemu yenu..
 
Hali ya uwanja ipo shwari kabisa kwa ajili ya kuwakalisha mikia fc hapa Nangwanda
 
Back
Top Bottom