VPL: Ihefu FC 1-2 Simba SC Sokoine, Mbeya

Mechi ya kwanza mnabebwa hakuna offside..TFF nilishasema tusije kulaumiana wananchi hatukubali
Wasije kulaumiana kwamba utajinyonga au utajisaidia barabarani mchana jua kali?
 
Lia sana tunao
Mbumbumbu fc nikawaida Yao kubebwa, aliyefunga Goli kafanya juhudi kubwa, lakini pesa imefanya juhudi kubwa zaidi. Simba bila kubebwa hamna kitu.
Lia sana tuu tunaongoza gemu 1 hadi gemu 34
 
Hao uliotaja hawapo hata sub
 
Mbumbumbu fc nikawaida Yao kubebwa, aliyefunga Goli kafanya juhudi kubwa, lakini pesa imefanya juhudi kubwa zaidi. Simba bila kubebwa hamna kitu.

After final whistle don't forget to drink your tears coz you are crying a lot kid.
 
Tumshukuru kibendera lile ni clear Goal Ihefu wamenyimwa...
Poor performance kwa Simba.
 
Babu Onyango katika kutaka kuokoa mpira ukampiga tobo mtu kaweka kambani refa kakataa , jamani mbumbumbu fc/shikamoo fc mkiambiwa wazeee msibishe.
Hakika Kocha Luc hakukosea kuwaita Manyani, Sokwe Mbwa FC maana siyo kwa mishadadio hiyo
 
Huyu kocha ana matatizo ambayo sijawahi onna yamefanyiwa kazi. Unacheza na Ihefu na Mshambuliaji 1 je ukicheza na Township Rollers uchezeje? Poor approach kishingo wetu ni kama anabwebwa na vipaji vya wachezaji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…