Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
4GMikia bila mbeleko hamtoboi kabisa.
MIPOVU ruksaMikia bila mbeleko hamtoboi kabisa.
Kwani washapigwa goli nne?Kilichowakuta ihefu kimetukuta na sisi
Hawawezi kupigwa nne, ni wazuri kuliko manyaniKwani washapigwa goli nne?
Mapema mno. Kumbuka ndiye aliyemaliza na timu iliyokuwa bingwaSimba hamna kocha hapa
Kishingo ni Mtalii tu
Zile 4-1 za kishingo hazikukutosha!Simba hamna kocha hapa
Kishingo ni Mtalii tu
Mechi za mikoani na wazawa wacheze kidogo jamaniMechi kama hii anashindwa kumuingiza Bwalya? Pumbav Kishingo
Mapema mno. Kumbuka ndiye aliyemaliza na timu iliyokuwa bingwa
Kishingo mzito sana kufanya sub, sijui atatufikisha wap..Mechi kama hii anashindwa kumuingiza Bwalya? Pumbav Kishingo
Kishingo mzito sana kufanya sub, sijui atatufikisha wap..Mechi kama hii anashindwa kumuingiza Bwalya? Pumbav Kishingo
Match fixing..mliongea na wachezaji wa Yanga ..watu hadi simu wamerekodi wanaona ujinga ndio maana Yondani na Abdul wameachwa madukaZile 4-1 za kishingo hazikukutosha!