Azam anataka ubingwa, mikia fc anataka nafasi ya pili. Hili game mbona sielewi kabisa ?. Ila ninachojua mimi mikia fc wamebaki kuwa wasindikizaji ligi ya bara kama kagera, mtibwa, coast na wenzao wengine, pia mikia fc wamebaki kucheza na historia ya mambo ya kale ambayo hayawezi kujirudia. Kuchukua ubingwa ni ndoto, kushiriki mashindano ya kimataifa pia ndoto kwao. Tunaomba zenj wasifute mapinduzi cup walau majamaa wapande meli.
Kudadeki,simba wameanza ligi sasa
Labda ushindani utarudi tena.
Bado ma5 kufikia 8 za yanga
HT
Simba 3 0 Mgambo jkt.
Kudadeki,simba wameanza ligi sasa
Mikia fc 3 - 0 Mgambo dhaifu
Tujuzeni matokeo mimi nimesikia kelele ya goli ila cjajua nani kashinda
Mkuu hata mie ni Kuala lumpaAcheni Plagiarism.............hata kufunga mnaangalizia
Mkuu hata mie ni Kuala lumpa
Hawa mgambo bure kabisa