VPL updates, leo tar. 16.03.2015: Azam vs Ndanda

VPL updates, leo tar. 16.03.2015: Azam vs Ndanda

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,089
Katika muendelezo wa ligi ya Vodacom Tanzania Bara leo tar. 16.03.2015, kutakuwa na mpambano kati ya Azam fc ya Dar es salaam dhidi ya Ndanda Kuchele ya Mkoani Mtwara majira ya saa 16:30 katika uwanja wa Chamanzi.

Mpambano huo unatarajiwa kuwa wa vuta nikuvute kutokana na kila timu kuhitaji point 3 muhimu kwa mchezo huo.

Azam fc wanahitaji point 3 ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kutetea ubingwa wao, huku timu ya Ndanda ikihitaji point 3 ili kujiweka mazingira salama ya kukwepa zahama ya kushuka daraja.
Kila la kheir timu ya kukaya Ndanda f.c

FULL TIME AZAM F.C 1-0 NDANDA F.C
 
Kikosi cha Azam fc kinachoanza leo;
1.Aishi Manula
2.Shomary Kapombe
3.Erasto Nyoni
4.Agreey Morris
5.Pascal Wawa
6.Mudathir Yahya
7.Himid Mao
8.Frank Domayo
9.Didier Kavumbagu
10.Kipre Tchetche
11.Brian Majwega
SUB---
Mwadini Ally
Said Morad
Kelvin Friday
John Bocco
Gaudance Mwaikimba
Farid Mussa
Amri Kiemba.
 
Dakika ya 4, azam 0-0 Ndanda.
 
Dakika ya 12, bado timu zinashambuliana kila timu ikitafuta goli la kuongoza
 
Dak ya 15, azam 0-0 ndanda.
 
Ndanda timu funga hao Azam goli moja tu na kama kuna ugumu kuwafunga japo hata sare ili kuwapunguza kasi.
 
Dakika ya 20, azam 0-0 ndanda.
 
Ndanda timu funga hao Azam goli moja tu na kama kuna ugumu kuwafunga japo hata sare ili kuwapunguza kasi.
Hayo ndio maombi ya wanasimba walio wengi.
 
Dak ya 24 azam 1-0 ndanda, kavumbagu anaweka mpira wavuni.
 
Paul Ngalema anaonyeshwa kadi ya njano dak ya 28.
Azam 1-0 ndanda
 
Dak ya 32 azam 1-0 ndanda.
 
Dak ya 40, azam 1-0 ndanda.
 
Back
Top Bottom