mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Katika muendelezo wa ligi ya Vodacom Tanzania Bara leo tar. 16.03.2015, kutakuwa na mpambano kati ya Azam fc ya Dar es salaam dhidi ya Ndanda Kuchele ya Mkoani Mtwara majira ya saa 16:30 katika uwanja wa Chamanzi.
Mpambano huo unatarajiwa kuwa wa vuta nikuvute kutokana na kila timu kuhitaji point 3 muhimu kwa mchezo huo.
Azam fc wanahitaji point 3 ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kutetea ubingwa wao, huku timu ya Ndanda ikihitaji point 3 ili kujiweka mazingira salama ya kukwepa zahama ya kushuka daraja.
Kila la kheir timu ya kukaya Ndanda f.c
FULL TIME AZAM F.C 1-0 NDANDA F.C