moody kabwe
Member
- Mar 13, 2015
- 76
- 21
Kikosi cha leo vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Telela ndani ya nyumbaKikosi cha leo vipi
Maskin polisi moro leo ana kibarua cha kukuta shina la mbuyu kwa kisu!!!!Historia inaenda kuandikwa leo uwanga wa taifa, Yanga kuchukua ubingwa na Polisi Moro kushuka daraja
Mbeya city nilijua lazima washukie mwaka huu lakini wamekomaa mpaka sasa wapo nyuma ya mikia fc nafasi ya 4. Wale jamaa wakijipanga vizuri hakika mwakani watakuwa tishio sana, mwaka huu nadhani kuna mambo hayakuwa sawa kwenye club ila sio siri wana wachezaji wazuri sana halafu vijana sana.Niliona kwenye mechi na sisi Yanga pale taifa kiukweli wako vizuri japo tuliwafunga 3Maskin polisi moro leo ana kibarua cha kukuta shina la mbuyu kwa kisu!!!!
Kwa heri polisi moro ligi kuu ila usijali yupo mwenzako anakuja huko si nyingi, kama si ndanda ya mtwara basi tz prisons ya mbeya.
R.I.P POLISI MOROGORO
Kama Aveva alivyofanya kwa tz prisons, alinunua goli 5 ili asubuhi yake kwenye mkutano na wanachama wasimuulize chochote kuhusu mwenendo wa timu yao.Manji akijiongezea muda wa uongozi,wanachama wengi walipinga,yeye aliwaahidi ubingwa kwa namna yeyote,mechi nyingi walizoshinda Manji alinunua Ili tu kuwafanya wanachama/washabiki wafurahi..mpira wa nchi hii hauwezi kusonga mbele Kama Kuna watu wanapata matokeo nje wa uwanja...
Sitii neno leo naweza kupewa notice ya kuhama!
Mchezo utatangazwa moja kwa moja kutoka uwanja wa taifa kuanzia majira ya kumi kamili jioni na TBC TAIFA.Jamani kama kuna link itaonyesha huu mchezo au redio tupeane. Mchezo muhimu sana
mmmh kwani ulitaka kuporomosha kitu gani kiongozi...
Mchezo utatangazwa moja kwa moja kutoka uwanja wa taifa kuanzia majira ya kumi kamili jioni na TBC TAIFA.
Utaoneshwa LIVE na azam tv, wenye link watanisaidia kuiweka hapo.