VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

Hamna ubingwa leo naona kabisa katika tv ya asili hapa yanga anapigwa
 
pamoja na kwamba ubingwa tunachukua lakn naomba uongoz umtafutie osca Joshua timu nyingne jamaa kichwa maji sana huyu
 
Hii miafande mbona inabana sana, nyie washuka daraja mbona mnatucheleweshea ubingwa!?
 
Leo uwanja umepoa sana na wana yanga wenzangu jf tumepooza sana hakuna makeke kama mechi zilizopita.
 
Back
Top Bottom