Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

simu kali na latest Sony Xperia XZ
unapata kwa bei poa..

camera 23MP mbele, 13MP nyuma.
storage ya ndani, 64GB na unaweza weka memory card hadi ya 256GB
Machine yake ni Quad-core (2x2.15 GHz Kryo & 2x1.6 GHz Kryo)
fingerprint lock, duo camera.. etc

bei chee: 750k
contacts: 0654776976
 
Accessories zake zipo??

Haina tatizo lolote?
 
Mkuu unayo macover ya Sony xperia z au mfuniko wa nyuma(rangi) nyeupe originAl?? Bei yako ikoje?
vyote vipo...kava 10k, mfuniko wa nyuma ipo ya 10k na 18k
 
Accessories zake zipo??

Haina tatizo lolote?
mkuu najua kimechokupa wasiwasi ni jinsi bei yake ilivyo rahis sana. ndio maana naiywa vunja bei.

simu imenyooka hiyo na kila kitu chake unapata chief, siuzi mali zenye matatzo..hivyo km ingekuwa na tatzo usingeiona hapa kwenye ubao wa matangazo ikiuzwa.
mzigo upo safi...ni swala la atakaye iwahi tu.
 
Nipe bei ya Huawei Mate 9
 
1M nikuletee mahela
mkuu, hiyo offer nimekupa mie, hupati hata kwa 1.2mil ukienda kokote kwngine rabda iwe used au yenye tatzo, nimekupa bei ya kiundugu saana yaani...km unaihitaji kweli na unajua thaman ya hiyo mate 9 ungekuwa okay kutoa hata 1.6mil nakuendelea
 
mkuu, hiyo offer nimekupa mie, hupati hata kwa 1.2mil ukienda kokote kwngine rabda iwe used au yenye tatzo, nimekupa bei ya kiundugu saana yaani...km unaihitaji kweli na unajua thaman ya hiyo mate 9 ungekuwa okay kutoa hata 1.6mil nakuendelea

Biashara maelewano mkuu, nimenunua moja last month kwa 1.2M sealed kabisa , with warranty...with warranty. Mama yangu simu anayotumia anasema inakula sana chaji hivo ameipenda hii mke wangu anaisifia kwa hiyo amenikomalia nimnunulie. Wacha nijikongoje nitafute hiyo laki mkuu. Gold unayo?
 

Attachments

  • IMG_20170305_153030.jpg
    78.3 KB · Views: 68
yaah...zipo, na zimebak gold na sliver
 
vunja bei latest smartphones kwa bei pouwa.


iPhone 7+ 128GB, price 2.2mil



sony xperia z5, 32GB price 700k



huawei nova, 32GB price 750k


na nyingne kibao...zipo
call: 0654776976
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…