Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

used Samsung Galaxy note 5 kwa bei chee:

hii nilikuwa natumia mwenyewe, sasa naiuza kwa bei powa!
camera ni 16MP
storage ni 32GB
network ni 4G LTE

haina tatzo wala ubovu wowote zaid zaid mikwaruzo kidogo.

Bei ni 650k ( lak 6 na 50)
contacts 0654776976
 
Kwa bahat mbaya sina mwanza wakala , ila nafikiria kufanya mppango wa kuwa na mawakala wa aminifu kila mkoa.
Ila kwa sasa watu wa mikoni huwa tunafanya biashara kwa mtandao then mzigo anatumiwa kwa bus na inafika salama salimini
mkuu kwema?
naomba kuwa wakala wako wa kanda ya ziwa nzima!
tupanue biashara mkuu na huku pia!
Tutashirikiana katika marketing and sales in general!
Naja PM tuongee zaidi na zaidi tushike soko la ziwa victoria!
 
Mkuu alkubal niko mwanza nahitaji sana mali na ntakuletea wateja kila kuchwao
 
haina tatzo wakuu, biashara ni network, tuwasiliane kwa 0654776976.
Mkuu alkubal niko mwanza nahitaji sana mali na ntakuletea wateja kila kuchwao
 
Kk ina bai gn hii
 
nahitaji s6 edge nahitaji 2 zote kwa shilingi 1.2m ,kwa kila moja 600k.mwenye nayo tuwasiliane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…