Vunja Private ICDs zote Dar, ili Bandari kavu ya Kwala ifanye kazi

Ndio kwanza zinaongezeka na iko siku huu mji utasimama.
 
Mzigo upelekwe Kwala wa kutosha Dar yabaki makontena ya Dar tu. Makontena ya nchi jirani na Mkoani yaende Kwala tupunguze foleni Dar. Folani inalemaza spidi ya ukuaji wa uchumi
Makontena ya kwala yatabebwa na helkopta ili kuepusha foleni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…