Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Nyumbani huko,inaikimbiza huko kwa kuwa hamna makontena siyo.Ipo Itungi port labda uifuate kule
Nyumbani huko,inaikimbiza huko kwa kuwa hamna makontena siyo.Ipo Itungi port labda uifuate kule
Yatabebwa kwa Malori kupunguza trafiki ya Malori kutoka nchi zote jirani kuingia katikati ya jiji. Malori machache yanaleta mzigo hapo Kwala, then mzigo unaondokea hapo kwa SGR au maloriMakontena ya kwala yatabebwa na helkopta ili kuepusha foleni?
Usikurupuke pale kuna reli mpaka kwala toka bandariniMakontena ya kwala yatabebwa na helkopta ili kuepusha foleni?
ICD ndio kitu ganVinginevyo ni story.
tayari wanaanza sema spidi ndogo. mfano wanaleta pale kontena 20 kwa siku wakati ilibidi angalao kwa siku ulete pale kontena hata 200. Bakhresa apewe hiyo tenda alete makontena pale. Wabebaji wachukue mzigo wao pale. Iwe marufuku kuwa na ICD ndani ya Dar zibaki ICD za Dar za magari ya IT tu labda!Kwala palitayarishwa hata wa Nchi jirani walipatiwa ardhi ili wajenge Container yard zao na inglifanya kazi kwa kadiri mpango ulivyopangwa ujumla wa magari ungalipinguwa sana mjini, ni swala mtambuka sana hili kulifanyia kazi linahitaji uthubutu mkubwa sana
Hayo yatayobeba kupeleka Kwala yana tofauti gani na ya icd kwenye kuweka foleni barabaran?Yatabebwa kwa Malori kupunguza trafiki ya Malori kutoka nchi zote jirani kuingia katikati ya jiji. Malori machache yanaleta mzigo hapo Kwala, then mzigo unaondokea hapo kwa SGR au malori
Naombea iwe hivyo mkuu.. ila kwa uongozi huu mambo yako slow sanaIle itapiga kazi tu subiri ije kupigwa marufuku ya malori ya kwenda nje kuingia mjini.
Kitakachovutia ni bei ya mizigo . Ikipigwa nusu bei na uharaka wa kufikisha mzigo Dom Kila mtu atakimbilia kwala tu
Wewe ndio unakurupuka and you're less informed.Usikurupuke pale kuna reli mpaka kwala toka bandarini
Inabidi yabebwe na treni maana kuna reli inapita mule.Hayo yatayobeba kupeleka Kwala yana tofauti gani na ya icd kwenye kuweka foleni barabaran?
Sawa labda TASAC ndio walio kurupuka waliposema TPA na TRC wahakikishe mizigo inafika kwala.Wewe ndio unakurupuka and you're less informed.
Watazuiaje malori yasiingie mjn wana sheli zao hapo mjini mkuu. Shida wana siasa wetu mafwala.sanaMzigo upelekwe Kwala wa kutosha Dar yabaki makontena ya Dar tu. Makontena ya nchi jirani na Mkoani yaende Kwala tupunguze foleni Dar. Folani inalemaza spidi ya ukuaji wa uchumi
Ili wafaidishe Waarabu wa DP World? No! Hapana!Vinginevyo ni story.
Magu alipiga zege,ila sahv kdg kushaanza kuchangamkaKuna ubovu wa Barbara ya kuingia kwala
Kontena za rwanda na Burundi wachukulie Isaka yaende na reli kma miaka ya nyuma dizeli ziende kwa reli depo zipo zinaoza tu...Zambia na Kongo ndio waende kwala...dsm wahudumie kontena za local...kwala ,Isaka na mwanza south port zifanye transist....Kuna baadhi ya watu hapo mjini watapata unafuu wa traffic's kubwa Sana na kuona miundombinu IPO sawaMzigo upelekwe Kwala wa kutosha Dar yabaki makontena ya Dar tu. Makontena ya nchi jirani na Mkoani yaende Kwala tupunguze foleni Dar. Folani inalemaza spidi ya ukuaji wa uchumi