Wakati matajiri wenye icd ndio wachangiaji wakubwa wa ccm🤣🤣🤣Kuna siku sio kiongozi wala Mwananchi tutajikuta tuko stuck. YANAHITAJIKA MAAMUZI MAGUMU KUIFANYA BANDARI YA KWALA IFANYE KAZI.
Dar mpaka Morogoro yote iwe njia sitaPanueni mandela road iwe njia sita, malizen na barabara ya mbezi kimara. Folen mtaikia radion.
Unakumbuka ile michango ya billion 100 ya kuchangia chama cha majambazi? Hao ndio wamiliki wake sasaVinginevyo ni story.
Unaweza kuyafarakanisha lakini hutayaweza sasa😁😁.. Magu aliyarudisha nyuma, leo yukwapi na yenyewe yakwapi. #Mfumo ni mkubwa kuliko mtu/watuMajitu untouchable sio!
Ndio kipo na kina wanachama wengi na ukwasi wa kutishaKuna chama kinaitwa chama cha majambazi?
Kweli kabisa.Kuna siku sio kiongozi wala Mwananchi tutajikuta tuko stuck. YANAHITAJIKA MAAMUZI MAGUMU KUIFANYA BANDARI YA KWALA IFANYE KAZI.
Na kwala tuliyoizindua kwa mbwembwe vipi?Panueni mandela road iwe njia sita, malizen na barabara ya mbezi kimara. Folen mtaikia radion.
NALIBARIKI HILI KWA NGUVU ZOTE/ BAADA YA KUMALIZANA NA MAGUFULI,SAFARI IENDELEE MPAKA KWALA DRY PORT.Vinginevyo ni story.
Kabisa. Hii nchi siku tukiweza kutenganisha usiginaji wa sheria na mipango yetu kwa kuwasikiliza wachache wenye ushawishi wa vijisenti tutaongeza spidi ya Maendeleo pakubwaNALIBARIKI HILI KWA NGUVU ZOTE/ BAADA YA KUMALIZANA NA MAGUFULI,SAFARI IENDELEE MPAKA KWALA DRY PORT.
Jangwani mwendokasi depot imekuwa ICDVita na ICD aliijaribu yule mzee zikapotea. Lakini alivyolala zimerudi nyingi zaidi, ICD private ni majitu.