Vunja Private ICDs zote Dar, ili Bandari kavu ya Kwala ifanye kazi

Vunja Private ICDs zote Dar, ili Bandari kavu ya Kwala ifanye kazi

Kontena za rwanda na Burundi wachukulie Isaka yaende na reli kma miaka ya nyuma dizeli ziende kwa reli depo zipo zinaoza tu...Zambia na Kongo ndio waende kwala...dsm wahudumie kontena za local...kwala ,Isaka na mwanza south port zifanye transist....Kuna baadhi ya watu hapo mjini watapata unafuu wa traffic's kubwa Sana na kuona miundombinu IPO sawa
Burundi Wanachukulia kigoma, Rwanda na goma isaka ingewafaa.
Zambia na Lubumbashi wangechukulia morogoro.
 
Yatabebwa kwa Malori kupunguza trafiki ya Malori kutoka nchi zote jirani kuingia katikati ya jiji. Malori machache yanaleta mzigo hapo Kwala, then mzigo unaondokea hapo kwa SGR au malori
Kwanini huo mzigo usitoke bandarini uingizwe sgr moja kwa moja?
Au lori la kubeba toka bandarini linyooshe moja kwa moja mkoani?

As long as kuna lori litabeba kuleta kwala ni sawa tu na la mkoani au nchi jirani kubeba toka bandarini.

Suluhisho...lori linapoingia jijini linyooshe kubeba mzigo na kutoka sio kupanga foleni
 
tayari wanaanza sema spidi ndogo. mfano wanaleta pale kontena 20 kwa siku wakati ilibidi angalao kwa siku ulete pale kontena hata 200. Bakhresa apewe hiyo tenda alete makontena pale. Wabebaji wachukue mzigo wao pale. Iwe marufuku kuwa na ICD ndani ya Dar zibaki ICD za Dar za magari ya IT tu labda!
Wakati Mbagala ZAKHIEM ndio kwanza GSM anafungua bonge la dude... ICD ya kimataifa
 
Kwani si ilisemwa kazi ya Sgr itakuwa ni kuchukua mizigo kutoka DSm mpaka huko mipakani.?
 
Nani mwenye nguvu ya kuvunja ICD Private wakati weamiliki ndio Wakuu wenu wenye mamlaka hizo 🤣🤣. Halafu mnyororo mrefu Hadi kwa ma shipping agents🤣🤣
 
Rais aliongea kwa kubembeleza. Hataki kuwaudhi makada wenye ICDs. Angekuwa JPM angetoa agizo kuwa kufikia siku fulani magari ya transit yasiingie jijini.
 
Back
Top Bottom