Vunja Private ICDs zote Dar, ili Bandari kavu ya Kwala ifanye kazi

Burundi Wanachukulia kigoma, Rwanda na goma isaka ingewafaa.
Zambia na Lubumbashi wangechukulia morogoro.
 
Yatabebwa kwa Malori kupunguza trafiki ya Malori kutoka nchi zote jirani kuingia katikati ya jiji. Malori machache yanaleta mzigo hapo Kwala, then mzigo unaondokea hapo kwa SGR au malori
Kwanini huo mzigo usitoke bandarini uingizwe sgr moja kwa moja?
Au lori la kubeba toka bandarini linyooshe moja kwa moja mkoani?

As long as kuna lori litabeba kuleta kwala ni sawa tu na la mkoani au nchi jirani kubeba toka bandarini.

Suluhisho...lori linapoingia jijini linyooshe kubeba mzigo na kutoka sio kupanga foleni
 
Wakati Mbagala ZAKHIEM ndio kwanza GSM anafungua bonge la dude... ICD ya kimataifa
 
Kwani si ilisemwa kazi ya Sgr itakuwa ni kuchukua mizigo kutoka DSm mpaka huko mipakani.?
 
Nani mwenye nguvu ya kuvunja ICD Private wakati weamiliki ndio Wakuu wenu wenye mamlaka hizo 🤣🤣. Halafu mnyororo mrefu Hadi kwa ma shipping agents🤣🤣
 
Rais aliongea kwa kubembeleza. Hataki kuwaudhi makada wenye ICDs. Angekuwa JPM angetoa agizo kuwa kufikia siku fulani magari ya transit yasiingie jijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…