Vunjabei alikuwa na nafuu ila huyu Sandaland ni hovyo

Jezi ni nzuri sana kwa mwanasimba yeyote anayejielewa!
Ila kwa shabiki yeyote wa utopolo ambako wenye akili ni wawili tu ni ngumu sana kuzipenda.
Jezi ziko bomba hazina mambo mengi
Nb: Hizi siyo shela za harusi ni jezi za mpira wa miguu💪💪💪[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kweli wanetu mna jezi kali sana, cheki hizo nyuzi nyuzi shingoni, daah hatari sana
 
Nilisema kabisa. Yule sandaland mkinga anataka kuleta ukkoo kwenye nguo za simba. Na hili ni kosa toka kumkaribisha fred .. Sandaland kachukua mchongo kiujuaji. Ila hawezi kitu mjomba wangu huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…