Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hapo ni editing, uhalisia huu hapa😀😀
Ukiangalia jezi za mbumbumbu utagundua kuwa ni ileile ya mwaka jana kikubwa kilichobadilika n mistari meupe kwenye kola, kwenye upinde wa mikono na maandish makubwa ya M bet kuliko ya mwaka jana
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu
View attachment 2695498