Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MWENYE PICHA YA JEZI MPYA YA SIMBA IKIWA MOUNT KILIMANJARO ANITUMIE NAINUNUA KWA MILIONI MOJASijaelewa
Maumiv yao wanataka na sisi tuyapate wakati sio kweliMkuu sisi wenyewe tumeilewa hata zikiwa mbaya
Bado hujajieleza,utajieleza sana tu.Lakini kesho naenda kubeba jezi za familia yangu mpaka na za watoto.Endeleeni kuteseka kabisa vyura wa JangwaniKweli wanetu mna jezi kali sana, cheki hizo nyuzi nyuzi shingoni, daah hatari sana
View attachment 2695503
Na mpaka sasa hata hawajui kesho wanaanzia wapi bonanza lao.Ngoja kesho utambulisho mwingine wa sajili mpya ya simba utangazwe ili wazidi kupagawaMaumiv yao wanataka na sisi tuyapate wakati sio kweli
Bonanza lao limepoa hawana habar nalo tena
Na bado tiketi wanagawa bure mtaani utopolo wengi hali ya timu yao wanaona tia maji mwamko hakunaNa mpaka sasa hata hawajui kesho wanaanzia wapi bonanza lao.Ngoja kesho utambulisho mwingine wa sajili mpya ya simba utangazwe ili wazidi kupagawa
Dawa imekuingia umekuja kulilia huku?Waliozivaa wenyewe km wamekata tamaa ya maisha
Hahaaha nasikia wanagawa ticket za bureMaumiv yao wanataka na sisi tuyapate wakati sio kweli
Bonanza lao limepoa hawana habar nalo tena
Piga picha hiyo milioni 1 ikiwa na sign ya ID yako tuone kwanzaMWENYE PICHA YA JEZI MPYA YA SIMBA IKIWA MOUNT KILIMANJARO ANITUMIE NAINUNUA KWA MILIONI MOJAView attachment 2695510
We msenge tuDawa imekuingia umekuja kulilia huku?
Ukionesha hiyo picha ya milioni 1 uliyonayo, hiyo picha iwe karatasi yenye sign ya ID yako na mimi nakulipa kwa kuonesha milioni 1 halafu tuendelee na mambo ya jezi ikiwa kileleni. Usiwe unatupigia kelele hapa kumbe hata laki hunaMWENYE PICHA YA JEZI MPYA YA SIMBA IKIWA MOUNT KILIMANJARO ANITUMIE NAINUNUA KWA MILIONI MOJAView attachment 2695510
Ukionesha hiyo picha ya milioni 1 uliyonayo, hiyo picha iwe karatasi yenye sign ya ID yako na mimi nakulipa kwa kuonesha milioni 1 halafu tuendelee na mambo ya jezi ikiwa kileleni. Usiwe unatupigia kelele hapa kumbe hata laki huna