KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,370
- 5,381
Hiyo ndo picha yenyewe.Ukionesha hiyo picha ya milioni 1 uliyonayo, hiyo picha iwe karatasi yenye sign ya ID yako na mimi nakulipa kwa kuonesha milioni 1 halafu tuendelee na mambo ya jezi ikiwa kileleni. Usiwe unatupigia kelele hapa kumbe hata laki huna