Vunjabei alikuwa na nafuu ila huyu Sandaland ni hovyo

Vunjabei alikuwa na nafuu ila huyu Sandaland ni hovyo

Umeishika Hiyo jersey na KUONA ubora wake??????


FICHA UJINGA MTANZANIA

ACHA uropofu.
 
UBORA WA kitu haupimwi kwa Muonekano.

UBORA unapimwa kwa Quality.
Unatakiwa ushike jersey uangalie (texture) Uzito WA Uzi.

Otherwise labda kama unaangalia Design.

FICHA UJINGA WAKO MTANZANIA.
 
Kelele zote zile hakuna kitu, uzinduaji wa jezi kwenye mlima wa Kilimanjaro ni kuliaibisha taifa.
1689965693256.jpg
 
Punguza kuwa mshamba zile kama form 6 ni fashion na sio endelevu kila msimu,collar ya V nayo ni fashion.

Usikariri ndo maana mnawekewa reflector .
20230716_112223.jpg
 
Hakuna kitu hapo.
Tumepigwa tu, yakitumika Majina ya viongozi wetu KITAIFA.

HUYU MO DEWJI HAACHI UHUNI......!!?
 
Jersey ya Simba upande wa quality kiasi wame jitahidi but kwenye design ndio poor unlike yanga design iko poa but quality ni mdebwedo
 
Yaani Dewji jersey yake ni special sana kuliko ya mwenye nchi yake...??😂
Ndo maana mchakato haumaliziki basi
 
Jersey ya Simba upande wa quality kiasi wame jitahidi but kwenye design ndio poor unlike yanga design iko poa but quality ni mdebwedo
Jezi za Yanga hazina Quality??????????? We jamaa umetafuna mirungi ya wapi?
 
Ukiangalia jezi za mbumbumbu utagundua kuwa ni ileile ya mwaka jana kikubwa kilichobadilika n mistari meupe kwenye kola, kwenye upinde wa mikono na maandish makubwa ya M bet kuliko ya mwaka jana

Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu

View attachment 2695498
Kwa kiasi kikubwa urembo wa jezi huwa kwenye maeneo hayo uliyotaja na labda pia kwenye ubavu wa pembeni wa t-shirt au bukta na siyo kama Yanga walivyofanya kwa kuweka maurembo upinde wa chini wa t-shirt. Wanasema "simplicity is the ultimate sophistication"
 
Back
Top Bottom