Vunjabei alikuwa na nafuu ila huyu Sandaland ni hovyo

MWENYE PICHA YA JEZI MPYA YA SIMBA IKIWA MOUNT KILIMANJARO ANITUMIE NAINUNUA KWA MILIONI MOJAView attachment 2695510
Ukionesha hiyo picha ya milioni 1 uliyonayo, hiyo picha iwe karatasi yenye sign ya ID yako na mimi nakulipa kwa kuonesha milioni 1 halafu tuendelee na mambo ya jezi ikiwa kileleni. Usiwe unatupigia kelele hapa kumbe hata laki huna
 
Nimesikitishwa nilidhani nitanunua mwaka huu jezi ya maana lakini ni imekuja tofauti sana.

Hivi wabunifu wenu huwa mnawatoa wapi?
Kwa nini msiende uturuki ambako najua huwa hawakosei kubuni mavazi?

Halafu maandishi ya m- bet makuubwa sana kwa ajiki ya nini?
Mbona hata yakiwa madogo yanaonekana tu?
 
Ukionesha hiyo picha ya milioni 1 uliyonayo, hiyo picha iwe karatasi yenye sign ya ID yako na mimi nakulipa kwa kuonesha milioni 1 halafu tuendelee na mambo ya jezi ikiwa kileleni. Usiwe unatupigia kelele hapa kumbe hata laki huna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…