Vunjabei alikuwa na nafuu ila huyu Sandaland ni hovyo

Ukionesha hiyo picha ya milioni 1 uliyonayo, hiyo picha iwe karatasi yenye sign ya ID yako na mimi nakulipa kwa kuonesha milioni 1 halafu tuendelee na mambo ya jezi ikiwa kileleni. Usiwe unatupigia kelele hapa kumbe hata laki huna
Hiyo ndo picha yenyewe.
 
Hiyo ndo picha yenyewe.
Picha zipo za kutosha. Lakini habari za picha tuiache kwanza. Onesha hiyo milioni 1 na mimi NIKUONESHE milioni 1
 

Attachments

  • Screenshot_20230721-211532.png
    91 KB · Views: 1
Picha zipo za kutosha. Lakini habari za picha tuiache kwanza. Onesha hiyo milioni 1 na mimi NIKUONESHE milioni 1
Mpaka tupige makelele na kuweka dau ndio picha zionekane kweli.
 
Kwa huo uzi vunja bei hafiki hata kidogo
 
Me naona mabadiliko kidogo kwa mtani
Vunja bei aliyumba sana
Hongera mtani kwa mabadiliko kidogo
 
Endelea kusikitika ukimaliza utasema
 
SIJUI NANI AMETUROGA WATANZANIA.

UZURI WA NGUO NI MATERIAL (TEXTURE).
UBORA AU QUALITY YA KITAMBAA.

WATANZANIA PUNGUZENI UPUMBAFU UUJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…