Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ukiangalia jezi za mbumbumbu utagundua kuwa ni ileile ya mwaka jana kikubwa kilichobadilika n mistari meupe kwenye kola, kwenye upinde wa mikono na maandish makubwa ya M bet kuliko ya mwaka jana
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu
View attachment 2695498
Vunjabei apewe maua yake kudadekiUkiangalia jezi za mbumbumbu utagundua kuwa ni ileile ya mwaka jana kikubwa kilichobadilika n mistari meupe kwenye kola, kwenye upinde wa mikono na maandish makubwa ya M bet kuliko ya mwaka jana
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu
View attachment 2695498
AaahaaaaKikubwa tusikae kifua wazii
Wanataka ziwekewe majumba ya kuhidhia msukule wao manaraUbunifu mnaoutaka ni upi nyie Yanga makopo? Mnataka jezi ziwekwe picha za bia na kitimoto ndo zionekane na ubunifu
Unajua maana ya ileile??Ukiangalia jezi za mbumbumbu utagundua kuwa ni ileile ya mwaka jana kikubwa kilichobadilika n mistari meupe kwenye kola, kwenye upinde wa mikono na maandish makubwa ya M bet kuliko ya mwaka jana
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu
View attachment 2695498
Ukiweka ushabiki utaona jezi za Simba sio nzuri. Ila ukiweka utimamu wa akili zile jezi ni nzuri. Nimechukua 2 muda huu white na red.Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu woooote tunasema jezi kali jezi nzuri mnooo.
Asante
Hii ni hatare mnooo. View attachment 2695506View attachment 2695507View attachment 2695508