Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Ila Pakistan ni Muhindi Kichaa. Pia ni Mzee wa Sembe hatokubali biashara yake ya Sembe isipite katika huo mlango wa bahari lazima atakiwashaWahouthi wameuteka mlango bahari wa Bab al Mandab unaotenganisha Afrika na Asia na kupitisha asilimia 7 ya mafuta duniani. Bei imepanda kufikia dola 105 kwa pipa? Wahouthi wanasema meli za SA hakuna kupita.
Wahouthi hao hao wameipiga mabomu Saudi Arabia. Saudi Arabia kaomba msaada US, Trump kagoma maana naye kabanwa. Saudi ana mkataba wa Ulinzi na Uturuki na Pakistan. Wametulia wanasikilizia kumsaidia maana Iran anaweza kuwasaidia Wahouthi kwa njia itakayowaumiza sana.
So Iran ni kama anacontrol Milango ya Hormuz na Bab al Mandab na huku bado anawapiga mabomu waarabu. Turkey na Pakistan wanaweza kuingia ulingoni.
Vurugu zimekuwa kubwa sana.
Ila Pakistan ni Muhindi Kichaa. Pia ni Mzee wa Sembe hatokubali biashara yake ya Sembe isipite katika huo mlango wa bahari lazima atakiwasha
Kama umeelewa Pakistan na uyu Pesa ipo Bank hawana tofauti
Saudi Arabia kawasha MOTO
Mwenyewe
kwa kutegemea Mkataba wa magumashi
Usitegemee cha jirani 🤠
Ila SA ni kama hawana JESHI wale ukiwapa mpambano na M23, lazima wakae
Bei ya mafuta itarudi kule kule hao Ewura wazee wa kupandisha Tsh 1000 kwa lita na kushusha Tsh 90 nawaona wakikaa vikao tena.
Hao wahuni walioweka bei ya mafuta tofauti kila Mkoa kupitia Bunge lao ila bei ya Pepsi ni sawa kwa Nchi nzima ndio unawasaidia aisee hao wahuni wamejaa hapo sio mmoja inawezekana Ewura yote ni yao.Kuna muhuni alikuwa anatuchezea pale Ewura lkn sasa kupo Safi bei hazipandi tena labda zishuke 💪
Uturuki na Pakistan WAMEKATAA kujiunga na hii vita. Wamesema mkataba ni wa ulinzi wa uvamizi baina ya nchi na nchi ila sio wa kupigana dhidi ya wanamgambo. Na mbaya zaidi Saudi Arabia ndio kaanza hii vita wala hajavamiwa.Wahouthi wameuteka mlango bahari wa Bab al Mandab unaotenganisha Afrika na Asia na kupitisha asilimia 7 ya mafuta duniani. Bei imepanda kufikia dola 105 kwa pipa? Wahouthi wanasema meli za SA hakuna kupita.
Wahouthi hao hao wameipiga mabomu Saudi Arabia. Saudi Arabia kaomba msaada US, Trump kagoma maana naye kabanwa. Saudi ana mkataba wa Ulinzi na Uturuki na Pakistan. Wametulia wanasikilizia kumsaidia maana Iran anaweza kuwasaidia Wahouthi kwa njia itakayowaumiza sana.
So Iran ni kama anacontrol Milango ya Hormuz na Bab al Mandab na huku bado anawapiga mabomu waarabu. Turkey na Pakistan wanaweza kuingia ulingoni.
Vurugu zimekuwa kubwa sana.
Hatari sana aisee, hilo eneo linazidi kuwa Tete.Wahouthi wameuteka mlango bahari wa Bab al Mandab unaotenganisha Afrika na Asia na kupitisha asilimia 7 ya mafuta duniani. Bei imepanda kufikia dola 105 kwa pipa? Wahouthi wanasema meli za SA hakuna kupita.
Wahouthi hao hao wameipiga mabomu Saudi Arabia. Saudi Arabia kaomba msaada US, Trump kagoma maana naye kabanwa. Saudi ana mkataba wa Ulinzi na Uturuki na Pakistan. Wametulia wanasikilizia kumsaidia maana Iran anaweza kuwasaidia Wahouthi kwa njia itakayowaumiza sana.
So Iran ni kama anacontrol Milango ya Hormuz na Bab al Mandab na huku bado anawapiga mabomu waarabu. Turkey na Pakistan wanaweza kuingia ulingoni.
Vurugu zimekuwa kubwa sana.
Kukosea alikosea pakubwa, lakini Bora alivamia Ili kujipima. Hii vita imeipa somo America, umuhimu wa Drone, na kutovamia hovyo nchi za watu.Hatari sana aisee, hilo eneo linazidi kuwa Tete.
US angekuwa na Allies (NATO) bega kwa bega huenda wangepeleka meli na manowari zao Ili kupambana na hawa Houthi ila naona wapo kimya tu.
Pakistan na Uturuki nao wapo kimya japo wana defense agreement na Saud Arabia, US Navy ndio hiyo imekwama hapo Iran.
Meli za China na Urusi zinapita bila kizuizi chochote hapo hapo Red Sea.
Kiufupi ni kama vile nguvu za Marekani kudhibiti hali na siasa za kikanda eneo hilo zimepungua.
Utawala wa Trump ulikosea sana kuanzisha vita na Iran.
Kichuguu zitto junior Kiranga T14 Armata
Trump ameingamiza sana Marekani. Nguvu kubwa ya Marekani baada ya vita ya pili ya dunia ilitokana mambo mawili tu: (a) kuwa na washirika wenye nguvu huko Ulaya, na (b) kuwa na ushawishi sehemu nyingi duniani kwa kutumia VoA, Peace Corps, na USAID. Trump amefuta yote hayo mawili na sasa Marekani inarudi enzi za 1920!Hatari sana aisee, hilo eneo linazidi kuwa Tete.
US angekuwa na Allies (NATO) bega kwa bega huenda wangepeleka meli na manowari zao Ili kupambana na hawa Houthi ila naona wapo kimya tu.
Pakistan na Uturuki nao wapo kimya japo wana defense agreement na Saud Arabia, US Navy ndio hiyo imekwama hapo Iran.
Meli za China na Urusi zinapita bila kizuizi chochote hapo hapo Red Sea.
Kiufupi ni kama vile nguvu za Marekani kudhibiti hali na siasa za kikanda eneo hilo zimepungua.
Utawala wa Trump ulikosea sana kuanzisha vita na Iran.
Kichuguu zitto junior Kiranga T14 Armata
Marekani bado iko vizuri sana kijeshi. Tatizo ni kwamba, serikali ilianzisha vita bila kuwa na mikakati, halafu makamanda walipowaambia kuwa vita haianzishwi kiholela namna hiyo, wote wakafukuzwa kazi. Makamanda waliopokea majukumu leo wanajifunza wakati vita inaendela: pakubwa sana hapo. Leo nimejaza mafuta nikalipa $4:29 kwa galloni.Kukosea alikosea pakubwa, lakini Bora alivamia Ili kujipima. Hii vita imepita somo America, umuhimu wa Drone, na kutovamia hovyo nchi za watu.
Lakini huwezi beza nguvu ya US kijeshi, jamaa kapiga Naval blockade Kwa Iran, na hakuna takataka ya Iran inapita kwa nguvu za Iran, sioni nchi tofauti na US yenye ball za kupiga Naval blockade.
Lakini America kwenye Air force ni Dunia nyingine, jamaa analeta jambajamba Kwa kutumia Aircraft carriers tu