Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Hizo nguvu za US unazozitaja hapa ndio udhaifu umeonekana hapo hapo.Kukosea alikosea pakubwa, lakini Bora alivamia Ili kujipima. Hii vita imepita somo America, umuhimu wa Drone, na kutovamia hovyo nchi za watu.
Lakini huwezi beza nguvu ya US kijeshi, jamaa kapiga Naval blockade Kwa Iran, na hakuna takataka ya Iran inapita kwa nguvu za Iran, sioni nchi tofauti na US yenye ball za kupiga Naval blockade.
Lakini America kwenye Air force ni Dunia nyingine, jamaa analeta jambajamba Kwa kutumia Aircraft carriers tu
Hivi kwa namna Powerful US navy na Air force ilivyo-perform hapo Iran siku ikiingia kwenye mzozo na China si itakuwa na hali mbaya mno ?..
Hivi unafahamu China kwa Sasa Ina jeshi la navy kubwa mno kuliko hata US ?..
zitto junior T14 Armata