Pipeline ya mafuta ya Saudi Arabia jamaa wa Houthi wmeishambulia na drone. Marekebisho yakichelewa bei zitapaa sana
Kipigo sio kwenye iyo pipeline kuelekea
Yanbu upenda wa Bahari ya Red Sea
Lkn maeneo mengi uko Saudi Arabia kwenye Viwanda vya Aramco vinachakazwa
Kimya kimya
Saudi Arabia kabaki njia panda
Mikataba yake haiwezi kumsaidia mpaka avamiwe
kupitia Ardhini✅️
Kuna wkt tuliwai sema ktk ile Vita ya
Armenian Vs Azerbaijan
Kwamba Russia mkataba wake na Armenian ulikuwa
Ikiwa Ardhi ya Armenian inavamia
Ndipo Russia Federation
itaingia kati kuisaidia ✅️
Lkn pale vita ilipo
kweli Armenian ilitandikwa lkn wao Armenian ndio Wavamizi kwenye Ardhi ya Azerbaijan👈
iyo Ardhi Armenian waliiteka miaka ya 90 kabla ya
Vita ya juzi kati 👈
Russia wanasimamia Sheria za Mkataba
Lkn wajuba wengine
Wakabisha na kuibeza Jeshi la Russia
Mana Russia kwakuwa anajeshi ndani ya Ardhi ya Armenian ivyo ni sababu ya kumsaidia
Armenian ‼️
Msingi ni Mkataka unasemaje✅️
Ktk Dunia hakuna mkataba wa kwamba wewe nitakusaidia ukivamia mwengine yani ukivamia Ardhi ya mwengine❌️
Mkataba kama huo hakuna labda mfanye Makubaliano mengine ya kujua Faida na hasara tutagawana Vipi na uyo Mwenzio kwake kukosekane kizingiti✅️