Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

Naomba nikujibu kwa nitakavyo jaaliwa.

Wanamgambo wa kwetu ni askari wa akiba wakiwa na mafunzo ya awali kabisa ya kutumia silaha moja TU.
Kwetu wanaitwa wanamgambo kwa sababu hawana mafunzo ya kutosha na hawajaajiliwa kama wanajeshi.
Hawana tofauti na JKT ni mafunzo ya uzalendo TU na ukakamavu.
Tofauti Yao na JKT ilikua JKT ni wale waliomaliza form six wanasubiri kwenda chuo.
Wanamgambo ni wale ambao hawakujaliwa kufika form six lkn wapo mtaani,na ni lazima kupata mafunzo ya uzalendo na ukakamavu ndio wanatakiwa kupitia mafunzo ya mgambo.

Wa Houth ni Jeshi kamili lenye mafunzo yote ya kijeshi,wanajua kutumia silaha zote,Wana Jeshi la Ardhini,majini na (angani drone operators).
Wana intelligence, Surveillance, makomando n.k wanamgambo wa kwetu hawana sifa hizo.
Sasa kilichotokea Houth kuitwa wanamgambo ni Kwa vile walikua ni waasi dhidi ya serikali ya Yemen ambao wanataka kujitenga na Yemen kuu.
Walioshi kwa kupigana guerilla Wars bila kuwa na uniform maalumu,yaani Kila mtu anavaa anavyotaka,hawakua na Kambi maalumu walioshi mafichoni jangwani lkn wakimiliki silaha Kali ambazo nyingine hata Jeshi la TANZANIAN hatuna.
Kwa hivyo Hawa sio sawa na mgambo wa kwetu.
Hapo sawa.
 
Naomba nikujibu kwa kadri nitakavyojaaliwa.
Kabla ya vita kati ya Iran na Marekani wakishirikiana na Israel ungewauliza watu swali kama hilo kwamba ,kati ya USA na Iran walipigana nani atashindwa nadhani wengi wangekuambia Iran.
Lkn Leo nadhani wewe mwenyewe unajionea vita inavyoenda.

Sasa tuje kwa swali lako.
Jeshi la Houth na Jeshi la TZ Yako tofauti.

Wahouth wameonsha wameweza kuchallenji Super power USA na Israel kwa kurusha makombora Yao huko Jerusalem ama TEL Aviv na kwenye Melivita za Marekani.

Wameweza kufunga black sea Hadi meli zikahama njia.

Wameweza hata kuzamisha meli za mataifa makubwa za kibiashara na hata za kijeshi.km za USA na za baadhi ya nchi za ulaya.

Wameweza kushambulia SA inayosaidiwa na Yemen,USA na Israel.

Wana rusha misile zao Kwa msaada wa satellite.

Je TZ wanaiweza kuzi challenge US na Israel,Saudia na Yemen kwa pamoja?
kama wafanyavyo Houth?

Na Kuna wakati hata UK iliingia ili kuwalazimisha wa. Houtuh kufungua red sea( nachaganya nimesahau sijui ni red sea, black sea au )

Miaka ya nyuma TZ tuliweza kuwadhibiti M23 JE uwezo huo bado tunao?.

Tz tuna uzoefu na Vita vya Ardhini sana Tena msituni, Houtuh Wana uzoefu wa vita vya Ardhini jangwani,na Vita vya angani,wanamiliki makombora ya masafa ya kati,ndio maana wanaweza kupiga meli za USA hata zikiwa mbali baharini.

Sasa Kwa hayo machache ongeza na Yako, connect dot utapata majibu.
Mpaka hapo, hawa wa kwetu hawawezi hata kwa robo.
 
Iranian kama hamuogopi MAREKANI

Vip uyu Pakistan au Uturuki
Kwake si wachumba tu

Pakistan zaidi zaidi yupo na Nuclear

Lkn tukumbuke na Marekani kuna Viwanda vya Nuclear elfu 3000
Nabado Iranian anampelekea MOTO 💥💥💥 Iranian ni Mkuu wa lile eneo kwasasa🤠🤠
Kuna kitu hujajua Iran angekua na uwezo wa kugusa ardhi ya mu America angepiga ovyo ovyo na kuua raia wasio na hatia

Mmarekani ndio ningekua Mimi ningemaliza vita kwa wiki moja ninge acha magofu na majivu na kuua watu wasio na hatia pelekea moto woteeeeeee wanao husika na wasio husika MPAKA PANYA WOTEEEEEEE WASITOKE MATUNDUNI MWAO

Sema mmarekani anafuata maazimio ya UN , Hakiuki na hafanyi crime against humanity
 
Haya machafuko ya Russia Vs Ukraine
Na Iran na maadui zake, yanafukua mengi ambayo zamani tulikua tukidanganywa
Kabla ya vita kuna watu humu humu jamii forum ulikua huwaambiaa kitu kuhusu uwezo wa kijeshi wa America na Israel, huku wakikashifu kabisa uwezo wa Russia, China, Iran, North Korea
Ila naamini kwa kinachoendelea somo wamelipata, ukuaji wa teknolojia hususan kijeshi unakuja kuleta balance of power, mataifa ya kati yanaunda zana vita zenye madhara makubwa kwa bei rahisi tuu
Baada ya huu mtanange sidhani kama kutakua na kuoneana kipumbavu,
KILA LA KHERI MUAJEMI NA MRUSI komesha uhuni na wahuni hukooo
 
Hapana in fact kwa meli inachukua siku 40 kufika china ila kwa reli ni siku 15 pekee kwahiyo hata kma mzigo unaoenda ni mchache kuliko meli ila spidi ni kubwa.

Pia kusafirisha kwa meli ni USD 5 kwa pipa ila kwa treni ni USD 15 kwa pipa hiyo tofauti ya USD 10 pekee si inaongezwa tu kwenye bei ambazo tayar zimechangamka so ni negligible.

Ikumbukwe safari za treni kwa sasa ni walau 2 au 3 kwa wiki. Na hii ni option moja tu, nimeeleza kuwa mzigo wa mafuta bado unasafirishwa sana tu sema kwa kutumia ghost ships na false flags za Oman na Pakistan etc.

Lakini pia Iran ina reserve ya mafuta huko Indonesia na inayauza hayo kipindi hiki cha emergency ili kufidia deficit yoyote ile.
View attachment 3669029
Yes, Iran can ship small amounts of oil by rail through Central Asia to evade American sanctions, but rail transport cannot replace ships for large-scale export.

How Rail Shipping Works
The Route:

Iran connects to a 10,000-kilometer rail network that runs through Turkmenistan and Kazakhstan into China.

Overland Advantage:
Trains use land routes. American naval blockades cannot stop trains the way they can stop ships in the sea.

Speed:
Rail delivery can take 12 to 15 days, which is faster than the 35 to 40 days it takes by sea.

Why Rail Fails at Scale Low Volume: One long train with 100 cars carries only about 70,000 barrels of oil.

Massive Tankers:
A single large oil tanker ship can carry up to 2.2 million barrels.

Not Enough Tracks:
Trains cannot move the millions of barrels of oil that Iran usually sells abroad.

Current Limits on the Ground Small Amounts Only:
Rail, trucks, and small boats only move a tiny fraction of what ships carry.

Stricter Rules:
Recent Reuters reports show that tougher American rules and secondary sanctions make overland smuggling harder and more expensive.

Other Deals:
Iran mostly relies on secret barter deals and ship-to-ship transfers at sea rather than trains to sell most of its oil to buyers like China.
 
Sema mmarekani anafuata maazimio ya UN , Hakiuki na hafanyi crime against humanity
Acha utani hivi unajua marekani ndio nchi pekee iliyotumia nuclear bombs tokea dunia iumbwe.

Unajua imeshatumia silaha zote zilizokatazwa kama cluster munitions, white phosphorous na hata "agent orange" iliyoua mamilioni ya watu na mimea huko Cambodia na Vietnam miaka ya 80!!

Marekani haijawahi kufuata sheria na hata Iran imeshalipua hospitali ya vichanga, hospitali ya saratani, miundombinu ya maji ya kunywa, imeua wanafunzi 200+ wa kike shule ya awali n.k hawana nidhamu kabisa.
 
Acha utani hivi unajua marekani ndio nchi pekee iliyotumia nuclear bombs tokea dunia iumbwe.

Unajua imeshatumia silaha zote zilizokatazwa kama cluster munitions, white phosphorous na hata "agent orange" iliyoua mamilioni ya watu na mimea huko Cambodia na Vietnam miaka ya 80!!

Marekani haijawahi kufuata sheria na hata Iran imeshalipua hospitali ya vichanga, hospitali ya saratani, miundombinu ya maji ya kunywa, imeua wanafunzi 200+ wa kike shule ya awali n.k hawana nidhamu kabisa.
Mafirauni yakiajemi unadhani yangepata upenyo si yange piga Washington DC

Ovyo ovyo yakiamini kua kufa jihad ndio tiketi ya kwenda kupata ma bikra 72 na mito ya pombe ovyo kabisa
 
Lengo kuu kubana shingo ya Uchumi wa Marekani

Marekani inategemewa pakubwa uwekezaji wake maeneo ya Gulf States
Na Rasilimali zake kama Mafuta na Gas

Wahouthii wamepata nguvu kupitia Makombora madogo madogo Utayali wa kupigana ✅️

tofauti na Majeshi yanayoungwa mkono na Saudi Arabia ✍️
Hivi watu mnayatoaga wapi haya maneno ya kubanwa uchumi wa Marekani? Halafu mnaishia kubanwa uchumi wenu wenyewe vinchi hivi.
 
Allah Awanusuru Waislam na Awape Ushindi dhidi ya mashia, Allahumma Aamiin.
 
Mafirauni yakiajemi unadhani yangepata upenyo si yange piga Washington DC

Ovyo ovyo yakiamini kua kufa jihad ndio tiketi ya kwenda kupata ma bikra 72 na mito ya pombe ovyo kabisa
Ndio nini hiki? Kama issue ni uislam mbona Iran wanashambulia Saudia, Bahrain, Yemen, UAE n.k?

Huu ni mgogoro wa kisiasa sijui kwanini mnaendekeza udini.

Na ulivyo hujitambui hufahamu kuwa hao USA wenyewe walifadhili na kuiweka madarakani Al qaeda nchini Syria chini ya GAIDI anayetafutwa na CIA yaani Al Jolani!! Ila hao USA huoni kama ndio magaidi?
 
Allah Awanusuru Waislam na Awape Ushindi dhidi ya mashia, Allahumma Aamiin.
Ndio nini hiki? Iran inasaidia mpaka wakristo wa Lebanon na Wasunni wa Palestina sasa haya ya Udini mnayatoa wapi?

Hao Saudia na Yemen waache kuwa vibaraka wa wazungu. Ni aibu sana palestina itetewe na Iran alafu hao wasunni wenzao wako busy kufunga ndoa na Israel na USA!! hapana wapigwe tu mpaka akili ziwarudi.
 
Kwa ujinga wako unafikiri hasara ni kwa Marekani?
We dogo huelewi uchumi, Marekani ina wekeza matrilioni kwenye hisa za makampuni makubwa ya mafuta, gesi, usafirishaji n.k kwahiyo ukiua supply chain ya kampuni za marekani hapo middle east automatically uchumi wa marekani nao unapata mtikisiko, ndio maana umeona mfumuko wa bei umeikumba USA licha ya kuwa vita haipiganwi ardhi yao.

We unadhani kwanini USA haijalipuwa kharg Island? Au kulipua repository zote za mafuta ya Iran maana inajua mafuta yakiisha kabisa Iran hata USA bei za bidhaa zitapanda.

Rudi shule ukasome elimu dunia sio kukaririshwa tu habari za taifa teule.
 
Mafirauni yakiajemi unadhani yangepata upenyo si yange piga Washington DC

Ovyo ovyo yakiamini kua kufa jihad ndio tiketi ya kwenda kupata ma bikra 72 na mito ya pombe ovyo kabisa

Kumbe Zwazwa kiakili
Umejibiwa Hoja yako ya Ubinadamu wa Marekani ❌️

Sasa umeijibu kujionyesha ulivo mweupe kichwani Zwazwa 🫎🫎
 
US navy ipo bize Iran..

Kumbe Aircraft carrier 10 ni michache mno kudhibiti Usalama kwenye bahari KUU na milango bahari muhimu?...

Ni vyema US wajenge nyingine 10.

T14 Armata
Zipo 11 lakini ni kama 5 tu unakuta ziko deployed kwa wakati, zingine ziko port kwa maintainance au upgrades. Tena hizo 5, moja huwa iko Asia Japan zingine unakuta 2 zinaelekea kumaliza deployment, 2 ziko katikati ya deployment.

Na deployment zake huwa ni miezi michache tu na sehemu tofauti tofauti, sasa hapo middle east sasa hivi zinahitajika kama mbili ziwepo muda wote, wamejikuta wapo constrained mpaka wameita ile inayokaa kule Asia Japan.
 
Back
Top Bottom