Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

Hizo nguvu za US unazozitaja hapa ndio udhaifu umeonekana hapo hapo.

Hivi kwa namna Powerful US navy na Air force ilivyo-perform hapo Iran siku ikiingia kwenye mzozo na China si itakuwa na hali mbaya mno ?..

Hivi unafahamu China kwa Sasa Ina jeshi la navy kubwa mno kuliko hata US ?..

zitto junior T14 Armata
Tatizo la waarabu hawana umoja, wanazungukana wenyewe kwa wenyewe.
 
We dogo huelewi uchumi, Marekani ina wekeza matrilioni kwenye hisa za makampuni makubwa ya mafuta, gesi, usafirishaji n.k kwahiyo ukiua supply chain ya kampuni za marekani hapo middle east automatically uchumi wa marekani nao unapata mtikisiko, ndio maana umeona mfumuko wa bei umeikumba USA licha ya kuwa vita haipiganwi ardhi yao.

We unadhani kwanini USA haijalipuwa kharg Island? Au kulipua repository zote za mafuta ya Iran maana inajua mafuta yakiisha kabisa Iran hata USA bei za bidhaa zitapanda.

Rudi shule ukasome elimu dunia sio kukaririshwa tu habari za taifa teule.
Ujinga mtupu unakusumbua mpaka Marekani itetereke nchi zingine zitakuwa hoi bin taabani!!

Endelea kuotq ndoto za Mwendawazimu kutegemea Marekani ita Colapse Kama Iran!!
 
Ujinga mtupu unakusumbua mpaka Marekani itetereke nchi zingine zitakuwa hoi bin taabani!!

Endelea kuotq ndoto za Mwendawazimu kutegemea Marekani ita Colapse Kama Iran!!
We hujui uchumi, hivi unajua marekani ndio nchi yenye madeni makubwa zaidi kuliko nchi yoyote duniani? In fact Deni lake la taifa ni kubwa kuliko pato la taifa!!!

Rudi shule
 
Ndio nini hiki? Iran inasaidia mpaka wakristo wa Lebanon na Wasunni wa Palestina sasa haya ya Udini mnayatoa wapi?

Hao Saudia na Yemen waache kuwa vibaraka wa wazungu. Ni aibu sana palestina itetewe na Iran alafu hao wasunni wenzao wako busy kufunga ndoa na Israel na USA!! hapana wapigwe tu mpaka akili ziwarudi.



Dola ya Kishia ya Iran haiwatetei Palestine wala Waislam, bali inasukuma agenda zake na maslahi yake. Haijali chochote kuhusu Waislam.

Dola ya kishia ya Iran inalitumia suala la Palestine kupata maslahi yake na kusukuma agenda zao. Wanazitumia damu za Wapalestina kufikia malengo yao na kuitumia Struggle ya Ndugu zetu Wapalestina ku gain kistratejia. Hiyo Dola ya kishia haijali kuhusu Masjid al Aqswa wala Al Quds (Jerusalem) wala Palestine.

Malengo yao hasa hao Mashia ni kuzivamia na kuzishika Nchi za Kiislam.

Kama mazayuni walivyo na ndoto ya kujitanua katika Nchi za Kiislam na mashia wa Iran pia wana ndoto hiyo hiyo ya kujitanua katika Nchi za Kiislam.

Mazayuni na Dola ya kishia ya Iran ni pande mbili za sarafu moja, ila Mashia ni waovu zaidi na wana shari zaidi kwa Waislam kuliko Mazayuni.

Allah Aiangushe Dola hiyo ovu mno chafu ya kishia na vibaraka wao, na Aiangushe Dola ya kivamizi ya mashetani wa kizayuni, Allahumma Aamiin.
 
Hizo nguvu za US unazozitaja hapa ndio udhaifu umeonekana hapo hapo.

Hivi kwa namna Powerful US navy na Air force ilivyo-perform hapo Iran siku ikiingia kwenye mzozo na China si itakuwa na hali mbaya mno ?..

Hivi unafahamu China kwa Sasa Ina jeshi la navy kubwa mno kuliko hata US ?..

zitto junior T14 Armata
Hii vita imemuabisha USA wakikutana wakubwa kama sio kutumia nyuklia anatupa taulo mapema tu!
 
..hawakuwa walinda amani.

..walikuwa ktk kikosi cha mashambulizi cha Sadc.

..wametandikwa mpaka wakasalimu amri.

..Afrika Kusini hawakuondokea Goma, ndege walikuja kupanda uwanja wa ndege Chato.
Walikuwa wachache sana na wenye silaha nyingi nyepesi tu ukilinganisha na RDF(M23) waliokuwa maelfu na wenye silaha nzito (Mpaka Drones)..
 
Malengo yao hasa hao Mashia ni kuzivamia na kuzishika Nchi za Kiislam.
Iran haijawahi kuivamia nchi yoyote jirani yake, ila yenyewe ndio imevamiwa na kushambuliwa na maadui zake mf Iraq ya Saddam, Israel na Marekani....

Tofauti na Saud Arabia iliyoishambulia Yemen na kuua maelfu ya raia wasio na hatia.

Mazayuni na Dola ya kishia ya Iran ni pande mbili za sarafu moja, ila Mashia ni waovu zaidi na wana shari zaidi kwa Waislam kuliko Mazayuni.
Mazayuni wameua Wapalestina wanaofikia 75,000 ila wewe unawaona afadhali kuliko Iran?....

Dola ya Kishia ya Iran haiwatetei Palestine wala Waislam, bali inasukuma agenda zake na maslahi yake. Haijali chochote kuhusu Waislam.
Waliopaswa kuwa mstari wa kuwatetea Wapalestina (Misri na nchi nyingine za Ghuba) zote ni vibaraka wa Israel na Marekani...Labda kidogo Uturuki ndio angalau inatetea Wapalestina.


Kama mazayuni walivyo na ndoto ya kujitanua katika Nchi za Kiislam na mashia wa Iran pia wana ndoto hiyo hiyo ya kujitanua katika Nchi za Kiislam.
Israel imeshajitanua kwa kumega ardhi za Gaza, Lebanon, Syria na bado wana ndoto za kuongeza maeneo zaidi ila Iran mpaka Sasa haijamega ardhi yoyote ya jirani yake.


Allah Aiangushe Dola hiyo ovu mno chafu ya kishia na vibaraka wao, na Aiangushe Dola ya kivamizi ya mashetani wa kizayuni, Allahumma Aamiin.
Vibaraka wa mazayuni wanafahamika (Fuatilia Abram Accords)...Iran haipo hilo kundi
 
K
US ikiingia vitani kwa kuvamiwa military industrial complex inafufuliwa. Akina Huntington Ingalls wanazalisha nyinginezo.

Na hakuna nchi ina carriers kuizidi US kwahiyo inakuwa na advantage vita ikianza. Na bado carrier battle group ya US Navy ni nzito inasindikizwa na meli, nyambizi, ndege na helikopta zenye uwezo majini.
Karne hii aircraft carrier ni wastage of dollars Vita vya sasa ni teknolojia ya drones na makombora Hayo mangalawa yanayoshika kutu na faults kibao unafikiri siku USA akijaa kwa China au Urusi itakuwaje?
 
Walikuwa wachache sana na wenye silaha nyingi nyepesi tu ukilinganisha na RDF(M23) waliokuwa maelfu na wenye silaha nzito (Mpaka Drones)..

..sio kweli.

..walikuwa na silaha nzito.

..Na baada ya kusalimu amri silaha zote nzito zilisafirishwa kupitia Rwanda na kurudi Tanzania.

..silaha za Afrika Kusini zilirudishwa kwao toka uwanja wa ndege wa Chato.
 
Back
Top Bottom