Ukiwa Fujairah huna haja ya kupita Strait of Hormuz. Hapo unakuwa umekwepa hiyo Fujairah na Khor fakkan ndio port ambazo huna haja ya kupita mlango huo. Oman port zake zote zinapiga kazi hazijaathiriwa kabisa.Sasa kutokea Dubai kisha wanaenda wp❓️
Sawa,kwahiyo japo nani mshindi?Ukiwa Fujairah huna haja ya kupita Strait of Hormuz. Hapo unakuwa umekwepa hiyo Fujairah na Khor fakkan ndio port ambazo huna haja ya kupita mlango huo. Oman port zake zote zinapiga kazi hazijaathiriwa kabisa.
Cheki Ramani hiyo
View attachment 3670237
Kamuulize bush bin laden yupo kuzimu kwa Sasa.Una rekodi zozote zinazoonyesha waajemi kuwa ba tabia za kujitoa muhanga?
Muhajemi Hana akili anatahiiwa na kisu butu cha ngariba..Kumbe Zwazwa kiakili
Umejibiwa Hoja yako ya Ubinadamu wa Marekani ❌️
Sasa umeijibu kujionyesha ulivo mweupe kichwani Zwazwa 🫎🫎
Waacheni Wafuga midevu na majini wauane tu ikiwezekana wamalizane wote ili dunia iwe sehemu salama pa kuishi!!Kwani ile pipeline yasasa si ilikuwa inaenda YANBU kupitia Red Sea lkn ndio imepigwa Saudi Arabia alikuwa na njia mbili kufikia sasa za kusafirisha Mafuta yake ✍️
Pili Iranian ilishatangaza Makombora yake yanafika popote kuzuiya usafirishaji wa Mafuta kwanjia ya pipeline
Saudi Arabia ilichekelea Vikwazo vya Trump kwa Biashara ya Mafuta ya Iranian
Kwasasa majuto ndio mjukuu
Saudi angeuza yake na mwenzie angeuza yake leo kungekuwa na Amani lile eneo
lkn Uwepo wa Majeshi ya Marekani kwenye mgongo wa Saudi Arabia ukampa kiburi Saudi❗️ kuchokoza Wahuni
Sasa Iranian inataka kumuonesha kuwa wewe uwezi kufikia Soko pamoja na Majeshi ya Marekani kuwepo kwako!!!
Ndiomana unaona Chezo lile pale Yemen wanatakiwa kufanga Red Sea sasa
Twambie Mafuta atapitishia wapi❓️
hvi israel pia huwa meli zake zinapita hapo kwenda bandari zakeNgoja wajijenga pale tuwe na Hormuz nyengine
Trump nywele zitamnyonyoka
Israel ile Bandari yake ya kusini ya Eilat inaenda kufa kabisa
Wafugie Samaki tu🤔🤔
Ukitaka kujua Trump na wenzake wamefanikiwa, wazungu wanasema follow the money 😁,angalia share za makampuni ya mafuta zilivyopanda tangu vita ianzeBado sijaona hoja ya msingi sana hapa mpaka sasa
Nahisi hilo ndio lengo kuu la marekani ila mpaka sasa anakutana na kikwazo toka kwa waajemi Sababu ya hormuz
ila kama atafanikiwa kupadhibiti hormuz na bab al mandab atakua kafanikiwa lengo lake
Kwasasa bado hajafanikiwa ila anaendelea vyema
Mafuta ya Venezuela na marekani pekee hayawezi kutosha mzee kuilisha dunia bila ya wese la mashariki ya kati ambalo nalo linakabiliana na kikwazo kwenye hizo chochoro tajwa hapo juu
Muhimu ukumbuke M23 sio Waasi wa kawaida wanaojificha msituni na kufanya ambush za hapa na pale, Lile ni jeshi kamili, kiufupi Drc ilivamiwa na nchi jirani...tumetandikwa.
Muhimu ukumbuke M23 sio Waasi wa kawaida wanaojificha msituni na kufanya ambush za hapa na pale, Lile ni jeshi kamili, kiufupi Drc ilivamiwa na nchi jirani.
Ripoti za UN zilikadiria kulikuwa na Askari mpaka 4000 kutoka nchi jirani wakipigana na Jeshi la Drc kwa kivuli cha M23.
SADC ya Sasa sio kama ya mwaka 1999, hii ya Sasa imegeuka klabu ya viongozi kukutana na kupiga Soga hili lipo wazi kabisa...tumetandikwa, na huo ndio ukweli wenyewe.
..mbona Zimbabwe waliweza kuwazuia wavamizi wa Drc mwaka 1999?
..Sadc imelegea ndio maana M23 wako pale.
Stupid and tribalist Congolese government wanawakatalia M23/banyamurenge haki zao za uraia ndio root cause ya vita na ilianza wakati wa dikteta Mobutu,SADCC wanampigania nani 🤔, M23 wako pale kwa sababu ni kwao and fighting for their rights and survival..tumetandikwa, na huo ndio ukweli wenyewe.
..mbona Zimbabwe waliweza kuwazuia wavamizi wa Drc mwaka 1999?
..Sadc imelegea ndio maana M23 wako pale.
Leta rekodi za waajemi kujitoa muhanga, acha soundKamuulize bush bin laden yupo kuzimu kwa Sasa.
NB. Alie kua ana support pilates hapo middle east ni msezwi wa hungumalwa..
Gaddafi hakuwa fisadi wala nini. Kiufupi waarabu hawana msimamo na hawana umoja na wanafiki. Ukishamuahidi mmoja madaraka basi ni rahisi kumpindua mwenzake. Kwani yule rais wa Misri baada ya Gamal Abdul Nasir aliyeuawa kosa lake lilikua nini!? Waarabu wanafiki.Libya walifanikiwa kwasababu Ghadaffi alikuwa fisadi wa ndani na akatengeneza maadui wengi ndani
Ukiwa Fujairah huna haja ya kupita Strait of Hormuz. Hapo unakuwa umekwepa hiyo Fujairah na Khor fakkan ndio port ambazo huna haja ya kupita mlango huo. Oman port zake zote zinapiga kazi hazijaathiriwa kabisa.
Cheki Ramani hiyo
View attachment 3670237
hvi israel pia huwa meli zake zinapita hapo kwenda bandari zake
Kaka acha kujibu watu wenye UFALA wa akili. We unaona kabisa huyu mtu analeta ubishani haleti majadiliano. ACHANA NAYE KAKA USIJIPOTEZEE MUDA.Acha utani hivi unajua marekani ndio nchi pekee iliyotumia nuclear bombs tokea dunia iumbwe.
Unajua imeshatumia silaha zote zilizokatazwa kama cluster munitions, white phosphorous na hata "agent orange" iliyoua mamilioni ya watu na mimea huko Cambodia na Vietnam miaka ya 80!!
Marekani haijawahi kufuata sheria na hata Iran imeshalipua hospitali ya vichanga, hospitali ya saratani, miundombinu ya maji ya kunywa, imeua wanafunzi 200+ wa kike shule ya awali n.k hawana nidhamu kabisa.
Hawakukalishwa bali hawakukua katika mission ya offensive. Rejea 2013 M23 walifanywa nini kudadeki...hata hawa wa kwetu walikalishwa na m23.