Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

..sio kweli.

..walikuwa na silaha nzito.

..Na baada ya kusalimu amri silaha zote nzito zilisafirishwa kupitia Rwanda na kurudi Tanzania.

..silaha za Afrika Kusini zilirudishwa kwao toka uwanja wa ndege wa Chato.
JWTZ haikuwenda na silaha nzito zozote ACHA KUONGOPA. Silaha walizikuta kule kule na walikua wakipokea maagizo kutoka jeshi la UN. Na walikua na limited fire power hawakupewa uwanda mpana wa kufanya mashambulizi kama 2013. Embu kafuatilie 2013 Mwakiborwa aliwafanya nini hao m23. 2013 JWTZ ilipewa uwanda mpana wa kutumia silaha zozote na unlimited firepower.
 
..kile kikosi ni kilekile cha Mwakibolwa kilikuwa chini ya SADC.

..Goma haikuchukuliwa kwa siku moja au kama shambulizi la radi.

..inawezekana vipi tuna vijana wetu wako DRC halafu hatufanyi monitoring yetu wenyewe kuhusu hatari zinazowanyemelea?

..Silaha nzito zilikuwepo na ndizo zilizosafirishwa toka Goma, kupitia Rwanda, mpaka uwanja wa ndege wa Chato.

..tumetandikwa tunapaswa kujisahihisha.
 
Gaddafi hakuwa fisadi wala nini. Kiufupi waarabu hawana msimamo na hawana umoja na wanafiki. Ukishamuahidi mmoja madaraka basi ni rahisi kumpindua mwenzake. Kwani yule rais wa Misri baada ya Gamal Abdul Nasir aliyeuawa kosa lake lilikua nini!? Waarabu wanafiki.
Gaddaff hakupinduliwa na Mwarabu mmoja mtaka madaraka.

Ni nguvu ya umma kwa kushirikiana na NATO.

Libya ilikuwa kama mali binafsi ya Gadaff na familia yake.
 
Gaddaff hakupinduliwa na Mwarabu mmoja mtaka madaraka.

Ni nguvu ya umma kwa kushirikiana na NATO.

Libya ilikuwa kama mali binafsi ya Gadaff na familia yake.
Ungekua unafuatilia documentaries za sasa kuhusu Libya aisee asilimia kubwa ya raia wanajuta kuuawa kwa Gaddafi.
Hakuna cha nguvu ya umma bali ni baadhi ya watu wenye uchu wa madaraka ambao walimwagiwa silaha na wakaungwa mkono na NATO. Na ndio hao hao walimuua mtoto wa Gaddafi mwaka huu alipotangaza kugombea urais.
 
..kile kikosi ni kilekile cha Mwakibolwa kilikuwa chini ya SADC.

..Goma haikuchukuliwa kwa siku moja au kama shambulizi la radi.

..inawezekana vipi tuna vijana wetu wako DRC halafu hatufanyi monitoring yetu wenyewe kuhusu hatari zinazowanyemelea?

..Silaha nzito zilikuwepo na ndizo zilizosafirishwa toka Goma, kupitia Rwanda, mpaka uwanja wa ndege wa Chato.

..tumetandikwa tunapaswa kujisahihisha.
Hakuna silaha nzito JWTZ aliyoenda nayo. Silaha nzito utasema ile sabasaba gun!?? Maana ile ndio silaha nzito pekee ambayo walikua nayo.
Na JWTZ hawakupewa uhuru wa mashambulizi. Unadhani JWTZ wange deploy A-100 mlrs za kutosha hiyo m23 ingepona!?
 
..visingizio visivyokuwa na maana.

..tumebondwa na M23 tunapaswa kujisahihisha.
 
Hatari sana aisee, hilo eneo linazidi kuwa Tete.

US angekuwa na Allies (NATO) bega kwa bega huenda wangepeleka meli na manowari zao Ili kupambana na hawa Houthi ila naona wapo kimya tu.

Pakistan na Uturuki nao wapo kimya japo wana defense agreement na Saud Arabia, US Navy ndio hiyo imekwama hapo Iran.

Meli za China na Urusi zinapita bila kizuizi chochote hapo hapo Red Sea.

Kiufupi ni kama vile nguvu za Marekani kudhibiti hali na siasa za kikanda eneo hilo zimepungua.

Utawala wa Trump ulikosea sana kuanzisha vita na Iran.

Kichuguu zitto junior Kiranga T14 Armata
Mazafaka Trump amebaki akijuta kimoyomoyo. His stupid decision has caused a lot of economic pains to the entire world!
 
Ungekua unafuatilia documentaries za sasa kuhusu Libya aisee asilimia kubwa ya raia wanajuta kuuawa kwa Gaddafi.
Hakuna cha nguvu ya umma bali ni baadhi ya watu wenye uchu wa madaraka ambao walimwagiwa silaha na wakaungwa mkono na NATO. Na ndio hao hao walimuua mtoto wa Gaddafi mwaka huu alipotangaza kugombea urais.
Sizumgumzii kwasasa wanatakaje au hali ya Libya ikoje.

Nazungumzia wakati huo wa mapinduzi.

Binadamu anayekandamizwa siku zote huwa lazima anaweza hata kubahatisha.
 
Saizi hataki tena kutumia Yanbu port anataka atumie Fujairah ipo Dubai. Hata container saizi kaanza kuzipitisha Dubai kwa railway na barabara kisha ziingie Khor Fakkan. Kabla alikuwa anatumiza bandari yake Jizan Port
Kwani kusafirisha kwa railway si ndio inakua gharama sana kama ilosemekana anaipata iran kwa kufikia uchina through railway
Ama gharama hua kwa uchina na iran tu ila sio kwa mataifa mengine ama mie ndio sielewi elewi hapa
 
Waacheni Wafuga midevu na majini wauane tu ikiwezekana wamalizane wote ili dunia iwe sehemu salama pa kuishi!!
Ili mupate kuendeleza usagaji na kufiranha muzidi kutunukisha nya kama inavyonuka hii comment yako 😪😪😪
 
Ukitaka kujua Trump na wenzake wamefanikiwa, wazungu wanasema follow the money 😁,angalia share za makampuni ya mafuta zilivyopanda tangu vita ianze
Ndio maana nikataka kujua kama mnufaika ni wamarekani ama vibosile kama kina DT na wenzake na yeye
Share kupanda hili lipo wazi na linaonekana
 
Sizumgumzii kwasasa wanatakaje au hali ya Libya ikoje.

Nazungumzia wakati huo wa mapinduzi.

Binadamu anayekandamizwa siku zote huwa lazima anaweza hata kubahatisha.
Bro unaropoka tu. Gaddafi hakumkandamiza yeyote. Basi tuachane na hilo, Yasser Arafat alikua kiongozi bora Misri,kwanini walimuua!?? Mbona kama wewe ni mgeni kwa waarabu!??
 
Bro unaropoka tu. Gaddafi hakumkandamiza yeyote. Basi tuachane na hilo, Yasser Arafat alikua kiongozi bora Misri,kwanini walimuua!?? Mbona kama wewe ni mgeni kwa waarabu!??
Kwahiyo Walibya walioungana na majeshi ya NATO kumpindua Gaddaff waliingizwa Libya kutokea nchi gani??
 
Abdul Fattah Elsisi aliwezaje kumpindua Mohammed Morsi kwa usaidizi wa Marekani!???
Tunazungumzia Libya?

Ukitaka taarifa za Egypt, leta stori nyingine.

Maadui wa nje hupata nguvu kutokna na migawanyiko ya ndani.

Leo JWTZ wanaua vitoto ndani visibyo nata na wembe, unadhani ukivamiwa leo hao Gen Z watapigana upande wako??

Simple logic.
 
Maadui wa ndani wanaweza hata wasiwe raia bali baadhi ya viongozi wa jeshi wenye tamaa ya madaraka. Washika silaha 90% waliopigana dhidi ya Gaddafi walikua ni millitary servicemen. Na ndio maana nikatolea mfano wa Misri.
Mtu mmoja kwenye system akiwa na ulafi ana uwezo kutumika kuangusha system nzima hata kama ikiwa imara vipi.
 
Back
Top Bottom