Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Sasa marekani ama wamarekani wanafaidikaje na hili maana kwao pia wese halishikikiKinachoendelea ndio original plan ya Trump na matajiri wa Wall Street, vuruga oil and gas businesses za Middle East ili wamiliki soko lote duniani,US ndio number one kwa uzalishaji wa mafuta na gas,sasa wamekamata soko lote na dunia nzima tunawalipa wamarekani sasa, ni kama kwenye gas tuu,kabla ya vita ya Russia na Ukraine, 90% ya European gas ilikuwa inatoka Russia,sasa ni less than 10% na US kachukua soko lote la ulaya sasa,Hakuna cha amani wala nuclear ni oil na gas tuu na mpaka vita ziishe oil infrastructure zote za waarabu zitakuwa kwisha habari yake,na atakayekuja kuzitengeneza upya mnamjua
Ama hii spesho kwaajili ya vibopa kina trumpet na jamaa zake