Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

..sio kweli.

..walikuwa na silaha nzito.

..Na baada ya kusalimu amri silaha zote nzito zilisafirishwa kupitia Rwanda na kurudi Tanzania.

..silaha za Afrika Kusini zilirudishwa kwao toka uwanja wa ndege wa Chato.
Unajua nchi jirani imejijenga mno kijeshi kwa miaka mingi tena wakiwekeza mpaka kwenye teknolojia za kisasa, hivyo haishangazi kuwabonda wale jamaa zetu.

Ila tukubali tu SADC ya Sasa sio kama Ile ya enzi zile, kwa Sasa imejaa wahuni , mafisadi na wapiga Dili tu wanaotembelea tu jina la 'SADC' ila ni usanii mtupu.

Ila hicho kikosi cha SADC kiliundwa kupambana zaidi na makundi ya waasi wenye silaha za kawaida tu mfano Fdlr, Maimai n.k sio kupambana kijeshi na 'Conventional army' kama la nchi jirani, nadhani hilo pia lilichangia kushindwa.
 
..tumetandikwa.

..tukibisha hatutajirekebisha.

..tutaishia kutandikwa tena na tena.

..wakati hiyo nchi jirani inajijenga sisi tulikuwa wapi, tunafanya nini kijeshi na kiusalama?

..kungekuwa na Sadc ile ya zamani, au enzi za Mwalimu na Mwinyi kingenuka kwelikweli.

..hata JK sidhani kama angeruhusu ujinga/ urojo uliotokea. Mkapa sina uhakika.
 
Dola ya Kishia ya Iran haiwatetei Palestine wala Waislam, bali inasukuma agenda zake na maslahi yake. Haijali chochote kuhusu Waislam.
Kwani wapi nimesema Iran inapigania dini? Nimekwambia wazi inapambania hadi wakristo wa Lebanon wanaouwawa huko South Lebanon kwahiyo mpaka hapo Iran haipiganii dini yoyote.

Dola ya kishia ya Iran inalitumia suala la Palestine kupata maslahi yake na kusukuma agenda zao. Wanazitumia damu za Wapalestina kufikia malengo yao na kuitumia Struggle ya Ndugu zetu Wapalestina ku gain kistratejia. Hiyo Dola ya kishia haijali kuhusu Masjid al Aqswa wala Al Quds (Jerusalem) wala Palestine.
Wanataka maslahi gani kwa mfano? Kwani wakibaki kwenye mipaka yao wanapoteza nini?
Malengo yao hasa hao Mashia ni kuzivamia na kuzishika Nchi za Kiislam
Kama ndio malengo kivipi sasa wapambane na Israel na USA si wangepambana na majirani zao kama Pakistan, Azerbaijan, ili kuzipindua why wahangaike kupambana na west?
Kama mazayuni walivyo na ndoto ya kujitanua katika Nchi za Kiislam na mashia wa Iran pia wana ndoto hiyo hiyo ya kujitanua katika Nchi za Kiislam.
Mbona UAE na Saudi Arabia ni sunni ila wanajitanua hadi Yemen na Sudan? Au kwao ni halali ila kwa Iran haramu?
Mazayuni na Dola ya kishia ya Iran ni pande mbili za sarafu moja, ila Mashia ni waovu zaidi na wana shari zaidi kwa Waislam kuliko Mazayuni.
Haupo serious? Hivi bila Iran unadhani palestina, Syria au Lebanon zinge survive mpaka leo? Hao wazayuni mnaowachekea ndio kesho watawamaliza unaona sasa wamemgeukia Qatar na Uturuki!!
Allah Aiangushe Dola hiyo ovu mno chafu ya kishia na vibaraka wao, na Aiangushe Dola ya kivamizi ya mashetani wa kizayuni, Allahumma Aamiin.
Punguza udini kijana, hivi vita sio vya kidini pia vibaraka ni hao Saudi Arabia, UAE, Syria n.k. wanaokubali kutumiwa na wazungu kuuza utu wao.
 
Kuna kitu hujajua Iran angekua na uwezo wa kugusa ardhi ya mu America angepiga ovyo ovyo na kuua raia wasio na hatia

Mmarekani ndio ningekua Mimi ningemaliza vita kwa wiki moja ninge acha magofu na majivu na kuua watu wasio na hatia pelekea moto woteeeeeee wanao husika na wasio husika MPAKA PANYA WOTEEEEEEE WASITOKE MATUNDUNI MWAO

Sema mmarekani anafuata maazimio ya UN , Hakiuki na hafanyi crime against humanity
Kuua wanafunzi wakiwa shule sio crime
Kuua watu wakiwa harusini sio crime??
Kupiga miundo mbinu ya kiraia sio crime
Marekani anatamani kufanya zaidi ya ulivyosema ila anajua atapelekewa moto zaidi ya huu wasasa
 
Dola ya Kishia ya Iran haiwatetei Palestine wala Waislam, bali inasukuma agenda zake na maslahi yake. Haijali chochote kuhusu Waislam.

Dola ya kishia ya Iran inalitumia suala la Palestine kupata maslahi yake na kusukuma agenda zao. Wanazitumia damu za Wapalestina kufikia malengo yao na kuitumia Struggle ya Ndugu zetu Wapalestina ku gain kistratejia. Hiyo Dola ya kishia haijali kuhusu Masjid al Aqswa wala Al Quds (Jerusalem) wala Palestine.

Malengo yao hasa hao Mashia ni kuzivamia na kuzishika Nchi za Kiislam.

Kama mazayuni walivyo na ndoto ya kujitanua katika Nchi za Kiislam na mashia wa Iran pia wana ndoto hiyo hiyo ya kujitanua katika Nchi za Kiislam.

Mazayuni na Dola ya kishia ya Iran ni pande mbili za sarafu moja, ila Mashia ni waovu zaidi na wana shari zaidi kwa Waislam kuliko Mazayuni.

Allah Aiangushe Dola hiyo ovu mno chafu ya kishia na vibaraka wao, na Aiangushe Dola ya kivamizi ya mashetani wa kizayuni, Allahumma Aamiin.
Haya kakojoe ukalale
 
Sasa marekani ama wamarekani wanafaidikaje na hili maana kwao pia wese halishikiki
Ama hii spesho kwaajili ya vibopa kina trumpet na jamaa zake
Ndio plan ya Trump na wenzake,wamechukua Venezuela, biggest oil producer Russia yuko hoi ,middle East oil infrastructure zinapigwa viberiti, unafikiri nani anafaidika😁
 
K

Karne hii aircraft carrier ni wastage of dollars Vita vya sasa ni teknolojia ya drones na makombora Hayo mangalawa yanayoshika kutu na faults kibao unafikiri siku USA akijaa kwa China au Urusi itakuwaje?
Umetaja Russia. Aircraft carrier yao iko kwenye matengenezo zaidi ya miaka 7.

China mpaka hapa napoandika yuko na carrier anaunda kwenye shipyard ya Dalian. Inaitwa Type 004 kwa sasa na inaonekana itakuwa na nuclear propulsion.
Mwaka jana Fujian ilikuwa launched mwezi kama huu.

UK wana carrier pia. India wanayo. France wanayo.

Wewe nchi yako watengeneza viberiti umezijulia wapi habari za carriers kuwa wastage of dollars?

Unaamini kutokea Marangu hapo unaweza kuwa think-tank kuliko waliokaa Pentagon, Moscow, Beijing, London, Paris?

Na aliyekwambia drones na makombora pekee ndio vinashinda vita nani? Kwamba klabu ikiwa na striker pekee, basi unabeba kombe haihitaji kipa, winga wala beki?
 
Dola ya Kishia ya Iran haiwatetei Palestine wala Waislam, bali inasukuma agenda zake na maslahi yake. Haijali chochote kuhusu Waislam.

Dola ya kishia ya Iran inalitumia suala la Palestine kupata maslahi yake na kusukuma agenda zao. Wanazitumia damu za Wapalestina kufikia malengo yao na kuitumia Struggle ya Ndugu zetu Wapalestina ku gain kistratejia. Hiyo Dola ya kishia haijali kuhusu Masjid al Aqswa wala Al Quds (Jerusalem) wala Palestine.

Malengo yao hasa hao Mashia ni kuzivamia na kuzishika Nchi za Kiislam.

Kama mazayuni walivyo na ndoto ya kujitanua katika Nchi za Kiislam na mashia wa Iran pia wana ndoto hiyo hiyo ya kujitanua katika Nchi za Kiislam.

Mazayuni na Dola ya kishia ya Iran ni pande mbili za sarafu moja, ila Mashia ni waovu zaidi na wana shari zaidi kwa Waislam kuliko Mazayuni.

Allah Aiangushe Dola hiyo ovu mno chafu ya kishia na vibaraka wao, na Aiangushe Dola ya kivamizi ya mashetani wa kizayuni, Allahumma Aamiin.
Wewe mwehu kabisa umekuwa Brainwashed na Magaidi wa Iran!!
 
Ndio plan ya Trump na wenzake,wamechukua Venezuela, biggest oil producer Russia yuko hoi ,middle East oil infrastructure zinapigwa viberiti, unafikiri nani anafaidika😁
Bado sijaona hoja ya msingi sana hapa mpaka sasa
Nahisi hilo ndio lengo kuu la marekani ila mpaka sasa anakutana na kikwazo toka kwa waajemi Sababu ya hormuz
ila kama atafanikiwa kupadhibiti hormuz na bab al mandab atakua kafanikiwa lengo lake
Kwasasa bado hajafanikiwa ila anaendelea vyema
Mafuta ya Venezuela na marekani pekee hayawezi kutosha mzee kuilisha dunia bila ya wese la mashariki ya kati ambalo nalo linakabiliana na kikwazo kwenye hizo chochoro tajwa hapo juu
 
Saudia Arabia wanakuja na Plan ya kujenga pipeline nyingine ya kutokea Dubai kwenye Fujairah Port ambapo meli hazifiki Strait of Hormuz
 
Kuua wanafunzi wakiwa shule sio crime
Kuua watu wakiwa harusini sio crime??
Kupiga miundo mbinu ya kiraia sio crime
Marekani anatamani kufanya zaidi ya ulivyosema ila anajua atapelekewa moto zaidi ya huu wasasa
Naona bwana ubwabwa 😁 unajitekenya mwenyewe na kucheka haaahaa
 
Saudia Arabia wanakuja na Plan ya kujenga pipeline nyingine ya kutokea Dubai kwenye Fujairah Port ambapo meli hazifiki Strait of Hormuz

Kwani ile pipeline yasasa si ilikuwa inaenda YANBU kupitia Red Sea lkn ndio imepigwa Saudi Arabia alikuwa na njia mbili kufikia sasa za kusafirisha Mafuta yake ✍️

Pili Iranian ilishatangaza Makombora yake yanafika popote kuzuiya usafirishaji wa Mafuta kwanjia ya pipeline

Saudi Arabia ilichekelea Vikwazo vya Trump kwa Biashara ya Mafuta ya Iranian
Kwasasa majuto ndio mjukuu

Saudi angeuza yake na mwenzie angeuza yake leo kungekuwa na Amani lile eneo

lkn Uwepo wa Majeshi ya Marekani kwenye mgongo wa Saudi Arabia ukampa kiburi Saudi❗️ kuchokoza Wahuni

Sasa Iranian inataka kumuonesha kuwa wewe uwezi kufikia Soko pamoja na Majeshi ya Marekani kuwepo kwako!!!

Ndiomana unaona Chezo lile pale Yemen wanatakiwa kufanga Red Sea sasa
Twambie Mafuta atapitishia wapi❓️
 
Saizi hataki tena kutumia Yanbu port anataka atumie Fujairah ipo Dubai. Hata container saizi kaanza kuzipitisha Dubai kwa railway na barabara kisha ziingie Khor Fakkan. Kabla alikuwa anatumiza bandari yake Jizan Port
 
..tumetandikwa.

..tukibisha hatutajirekebisha.

..tutaishia kutandikwa tena na tena.

..wakati hiyo nchi jirani inajijenga sisi tulikuwa wapi, tunafanya nini kijeshi na kiusalama?

..kungekuwa na Sadc ile ya zamani, au enzi za Mwalimu na Mwinyi kingenuka kwelikweli.

..hata JK sidhani kama angeruhusu ujinga/ urojo uliotokea. Mkapa sina uhakika.
Siasa zenu zimeathiri kila sekta, hamna ambayo imebaki salama.

Geopolitics za Maziwa makuu zinahitaji werevu wa akili na mahesabu, bahati mbaya kwa utawala wa sasa sio kipaumbele chao.

Kinachofurahisha ni kuwa Drc na Rwanda zote ni wanachama wa EAC, hii jumuiya hata mizozo ya wanachama wake imeshindwa kutatua

Mwanachama mmoja alitandikwa na mwanachama mwenzake wakati akimtetea mwanachama mwingine kwa mwavuli wa jumuiya nyingine..

Wenye jumuiya yao (EAC) wanaona bado ni imara na haina tatizo.
 
Uwepo wa Israel pale ilipo na matendo yake ya ukatili

Mnufaika Mkuu ni Iranian ndiomana Tunasema Wairani Ndio watu wenye Akili zaidi kwasasa kwenye Dunia yetu

Iranian angetaka angeweza kuishinda iyo Israel kitambo tu

Lkn Wairani walishagundua Israel ni nyenzo ya kuungwa mkono na Vijana wa kiarabu na kislam wote kwenye Gulf States na Waislam popote tulipo Ulimwenguni

Ndiomana tunaona Israel mpaka sasa ipo pale ilipo

Israel ikiondoka pale
ilipo leo kwanjia yoyote ile ❗️

Kifuatacho ni kuja kushindwa Iranian na Vijana kiarabu na Waislam Duniani ‼️

Manake kizazi kipya cha kislam Ulimwenguni kikifikia umri wa ujana ujue adui yao sio tena Israel hawamjui zaidi ya kusikia kwenye historia yake‼️

Lkn wao Akilini adui mbele ya Macho yao ni Iranian uyu uyu 👈

Iranian
Ndiomana inaanza kusafisha Waarabu vibaraka kwanza kwenye eneo

mwisho na kwa masikitiko ndio ataenda kwa Israel kuwaondoa pale walipo❗️

uku wakijua Madhara yake mbele ya Safari ❗️

Lkn Kwake kushikilia eneo la Gulf state kunaweza kuwapa nguvu kwa miaka kadhaa mbele wakijitutumia kuzuiya kupandwa kwa Fitna ya kimadhehebu kati ya USHIA na USUNI

Manake nje ya uwepo wa Israel

Kizazi za Waarabu na Waislam kwenye mioyo yao chuki za Israel zitafutika❗️

Sasa zitakuwepo Chuki kwa Iranian mwenyewe ❗️sababu za kimadhehebu matendo yao baadae yatachangia kuongezeka Fitna dhidi yao

Lkn kizazi chasasa wanaipenda vile wanajionesha kama wanataka kutatua tatizo la Palestine lkn ukweli hawana mpango kwasasa kutatua tatizo la Israel ✅️

hadi kwanza
kuondosha Tawala za Waarabu wenye kuegemea pande ya adui zake👈

MUJAHIDINI ndio watakuwa mwiba kwa Iranian miaka ya mbele zaidi uko✍️
 
Njia kuu ya bahari kutokea UAE Qatar Kuwait Bahrain ni Hormuz tu mkuu pangene ujaelewa vizuri ❓️

Mwenye uwezo kutumia Red Sea ni Saudi Arabia pelekee wengine wapitie kwake✍️
 
Back
Top Bottom