PostGE2025 Vurugu za Oktoba 29 zilifanywa na wanaCCM waliopinga rais Samia kupitishwa na mstaafu Kikwete bila mkutano mkuu, sio CHADEMA

PostGE2025 Vurugu za Oktoba 29 zilifanywa na wanaCCM waliopinga rais Samia kupitishwa na mstaafu Kikwete bila mkutano mkuu, sio CHADEMA

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Weka kando chuki zako dhidi ya shujaaa wa Afrika. Unadhania Kelele alizopiga Polepole na wenzanke hazina impact kwa yaliyotokea Oktoba 29? Unadhani nyuma ya pazia kulikuwa hakuna wana
Huyo alikuwa shujaa wako ww sio kwangu. Na sina popote nilipomtaja huyo dhalimu wako, bali ulimpachika kwenye majibu yangu ukitegemea kuipa thamank post yako.
 
Tazama post yangu namba tatu, nimeanza kwa kusema sijui lengo la post yake. Na sina popote ninapoonyesha cdm ni wahusika wa maandamano yale kwani yalikuwa ni ya wananchi. Nilichokataa ni yeye kutaka kuonyesha ccm walishiriki kwenye jambo lile wakati mara zote wamekuwa wakikalia kimya uovu.
Awamu hii kuna baadhi walishiriki kukataa uhuni.
Wengi wao walikosa ujasiri wa kukataa uovu na kuendeleza njaa zao na uchawa.
 
Awamu hii kuna baadhi walishiriki kukataa uhuni.
Wengi wao walikosa ujasiri wa kukataa uovu na kuendelea njaa zao na uchawa.
Ni kweli, lakini hawakutokea kama wanaccm, bali wananchi. Kutaja chama chochote ni kupotosha.
 
Bado Samia na Jeshi la polisi wanaendelea kuwasaka Waliohujumu kutokea Ccm.
Wapo wengi sn sn
 
Huyo alikuwa shujaa wako ww sio kwangu. Na sina popote nilipomtaja huyo dhalimu wako, bali ulimpachika kwenye majibu yangu ukitegemea kuipa thamank post yako.
Fikra zako tu zimekupeleka huko. Magufuli ni shujaa wq Afrika. Wewe mmoja kumpinga kati ya watu mil 67 wanaomkubali sio ishu
 
Ni kweli, lakini hawakutokea kama wanaccm, bali wananchi. Kutaja chama chochote ni kupotosha.
Utajifanya hujui lakini ukweli ni kuwa ni wanaCCM waliokataa uhuni
 
Fikra zako tu zimekupeleka huko. Magufuli ni shujaa wq Afrika. Wewe mmoja kumpinga kati ya watu mil 67 wanaomkubali sio ishu
Shujaa hateki wakosoaji ama kupora fedha za wananchi wake.
 
Shujaa hateki wakosoaji ama kupora fedha za wananchi wake.
Sidhani kama kuna mtanzania anayeweza kuamini hizi tuhuma zako. Wewe una chuki na shujaa wa Afrika.

Turudi kwenye mada kuu. WanaCCM waliokataa CCM ya wahuni walisababisha vurugu oktoba 29
 
mnawaandaa watu kiakili kwamba ccm bado ushawishi mkubwa ili 2030 mambo yawe rahisi mkuu?
 
mnawaandaa watu kiakili kwamba ccm bado ushawishi mkubwa ili 2030 mambo yawe rahisi mkuu?
Sio hivyo. Hujaona wanataka kumsingizia Lissu kuwa alishiriki ili wamchafue kuwa alihamasisha watu wakati sio kweli
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Sio hivyo. Hujaona wanataka kumsingizia Lissu kuwa alishiriki ili wamchafue kuwa alihamasisha watu wakati sio kweli
waendesha kesi wao hawasubiri majibu ya tume?
 
Unatumia akili ? Au unatumia makalio?
Huo ndiyo ulweli mchungu ambao ni ngumu kumeza kwa waumini wa Magufuli. Ila mkubali msikubali Magufuli ndiye katufikisha hapa pabaya tulipo
 
Sidhani kama kuna mtanzania anayeweza kuamini hizi tuhuma zako. Wewe una chuki na shujaa wa Afrika.

Turudi kwenye mada kuu. WanaCCM waliokataa CCM ya wahuni walisababisha vurugu oktoba 29
Kwamba watanzania ni wajinga sana hawawezi kujua ukweli ama?
 
Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa.

Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu.

WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia mstaafu Kikwete kumpitisha rais Samia bila kufuata utaratibu wao wanaCCM ndio walihasisha vurugu hiyo Oktoba 29.

Hoja yao kubwa ni kuwa Jakaya ana maslahi na kumuweka rais Samia.

CHADEMA isisingiziwe kabisa.

Mbona wahusika ni ccm
 
Sasa kwa nini mama yenu hapigi breki kusimamisha gari kuzidi kuelekea korongoni badala yake anazidi kukanyaga mafuta tu??
Mama alianza vizuri mpaka 2023, ila response za akina Lissu kuhusu 4R zilitibua road map yake.
 
Mama alianza vizuri mpaka 2023, ila response za akina Lissu kuhusu 4R zilitibua road map yake.
Basi Lissu ana nguvu sana na ni influential sana.
Halafu nini kilisababisha nchi kutumbukia kwenye machufuko ya kisiasa na mauaji October 29 wakati hata Lissu na viongozi wengine wa CHADEMA wakiwa gerezani?
 
CCM ni wanufaika na uwepo wao madarakani. Na sidhani kama wangeweza kufanya hivyo.. Vita ya CCM huwa ipo ndani kwa ndani. Labda tuamini waliohisika ni wote bila kuchuna ni nani na nani, maana waliofanya vurugu ni ngumu kuwatambua
 
Limefakamia futari ya Waislamu waliofunga, kisha linakuja hapa kuandika pumba.

Huwezi kumtenga Lissu na CHADEMA kwenye zile vurugu za 29/10
Wewe hujawahi kuwa na akili
 
Basi Lissu ana nguvu sana na ni influential sana.
Halafu nini kilisababisha nchi kutumbukia kwenye machufuko ya kisiasa na mauaji October 29 wakati hata Lissu na viongozi wengine wa CHADEMA wakiwa gerezani?
Unauliza swali kwa mtu anayetumia makalio kufikiria?
 
Back
Top Bottom