PostGE2025 Vurugu za Oktoba 29 zilifanywa na wanaCCM waliopinga rais Samia kupitishwa na mstaafu Kikwete bila mkutano mkuu, sio CHADEMA

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa.

Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu.

WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia mstaafu Kikwete kumpitisha rais Samia bila kufuata utaratibu wao wanaCCM ndio walihamasisha vurugu hiyo Oktoba 29.

Hoja yao kubwa ni kuwa Jakaya ana maslahi na kumuweka rais Samia.

CHADEMA isisingiziwe kabisa.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa hiyo tume, bwana Chande (kwangu mimi kwa hii ripoti,hana hadhi ya kuwa hata "karani"), amesema chanzo kingine cha zinazoitwa vurugu ni vyama vya siasa ambavyo wale walioshindwa kupitishwa na vyama vyao walioganaizi wafuasi wao kufanya vurugu hizo.

Chadema haikushiriki.
 
Kama mwaka 2015 asingetokea Magufuli kuwa mgombea wa CCM tusingefika hapa tulipofika.

Nchi ilikuwa ina improve ki demokrasia na ki haki za binadamu kuanzia enzi za Mkapa hadi Kikwete. Shida alileta Magufuli kwa kusimamisha shughuli za vyama, kuanza kuteka na kuua wapinzani. Bila Magufuli tungeendelea kuwa Tanzania bora sana

Mnaomsifu JPM na kumuona shujaa ni watu wa kutazama kwa tahadhari kubwa. Ni watu wasiojali utu
Umetumia akili au makalio kupost?
 
Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa.

Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu.

WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia mstaafu Kikwete kumpitisha rais Samia bila kufuata utaratibu wao wanaCCM ndio walihamasisha vurugu hiyo Oktoba 29.

Hoja yao kubwa ni kuwa Jakaya ana maslahi na kumuweka rais Samia.

CHADEMA isisingiziwe kabisa.
Na huu ndiyo ukweli wenyewe, Kikwete tamaa yake ya kutaka kumuandalia mwanawe Ridhawani njia ya kuja kuwa Rais baadaye ndiyo ilichochea ghasia za October 29, 2025. Alaaniwe kabisa huyu mzee asiyetaka kujiheshimu.
 
Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa.

Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu.

WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia mstaafu Kikwete kumpitisha rais Samia bila kufuata utaratibu wao wanaCCM ndio walihamasisha vurugu hiyo Oktoba 29.

Hoja yao kubwa ni kuwa Jakaya ana maslahi na kumuweka rais Samia.

CHADEMA isisingiziwe kabisa.
Demu wake
 
Usiumize kichwa kila kitu kinajulikana kaka.
Unatumia nguvu sana
 
Back
Top Bottom