PostGE2025 Vurugu za Oktoba 29 zilifanywa na wanaCCM waliopinga rais Samia kupitishwa na mstaafu Kikwete bila mkutano mkuu, sio CHADEMA

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa.

Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu.

WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia mstaafu Kikwete kumpitisha rais Samia bila kufuata utaratibu wao wanaCCM ndio walihamasisha vurugu hiyo Oktoba 29.

Hoja yao kubwa ni kuwa Jakaya ana maslahi na kumuweka rais Samia.

CHADEMA isisingiziwe kabisa.
Na maslahi yenyewe ni haya hapa
FB_IMG_1765768878021.jpg
 
Zile hazikuwa vurugu, yalikuwa maandamano ya kupinga uchaguzi. Na wala hayakuhusiana na chama chochote cha siasa. Wape credits zao vijana waliojitoa kwa ajili ya taifa tafadhari
 
Na huo ndo ukweli na wanaujua wote sema wameshindwa coz ni aibu kwao.
 
Basi Lissu ana nguvu sana na ni influential sana.
Halafu nini kilisababisha nchi kutumbukia kwenye machufuko ya kisiasa na mauaji October 29 wakati hata Lissu na viongozi wengine wa CHADEMA wakiwa gerezani?
CHADEMA, Polepole, Lissu, Maria Sarungi, Askofu Gwajima, Mange Kimambi. Kila mmoja ana role ali play siyo lazima wangekuwa front. Hiyo ndiyo cast ya characters
 
CCM mmelaaniwa, hamjawahi kukubali kuwajibika kwa lolote baya, mabaya na maovu mengi chini ya utawala wenu wa zaidi ya miaka 60.
 
Kwa nini alimfungulia Mbowe kesi ya Ugaidi mwaka 2021?
Kulikuwa na matukio ya Mbowe, Lissu, Lema baada ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa 2020. Magufuli ndiyo alikuwa anawatafuta, kisha nao wakakimbia nchi. Mbowe alikuwa Dubai na alirudi baada ya kifo cha Magufuli 2021 Machi.

Samia aliwarudisha wote mpaka akina Lema waliokuwa Canada na Lissu aliyekuwa Belgium. Sasa wakakosea kwa kumuona mwanmke, wakaanza kumpa pressure za Katiba Mpya wakati kwa Magufuli waliufyata. Wakawa wanataka priorities zao CHADEMA ziwe ndiyo priorities za Rais na Serikali. It doesn't work like that in this world, aliyeshika mpini lazima akausanue. Mbowe akaishia Ukonga kwa miezi kadhaa
 
Kulikuwa na matukio ya Mbowe, Lissu, Lema baada ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa 2020. Magufuli ndiyo alikuwa anawatafuta, kisha nao wakakimbia nchi. Mbowe alikuwa Dubai na alirudi baada ya kifo cha Magufuli 2021 Machi.

Samia aliwarudisha wote mpaka akina Lema waliokuwa Canada na Lissu aliyekuwa Belgium. Sasa wakakosea kwa kumuona mwanmke, wakaanza kumpa pressure za Katiba Mpya wakati kwa Magufuli waliufyata. Wakawa wanataka priorities zao CHADEMA ziwe ndiyo priorities za Rais na Serikali. It doesn't work like that in this world, aliyeshika mpini lazima akausanue. Mbowe akaishia Ukonha kwa miezi kadhaa
Masheikh wa BAKWATA wanasema chanzo ni TEC kwa sababu ni muislamu anayevaa ushungi.
 
CCM mmelaaniwa, hamjawahi kukubali kuwajibika kwa lolote baya, mabaya na maovu mengi chini ya utawala wenu wa zaidi ya miaka 60.
Bado miaka 40 kufika 100, tuombe uzima
 
Kama mwaka 2015 asingetokea Magufuli kuwa mgombea wa CCM tusingefika hapa tulipofika.

Nchi ilikuwa ina improve ki demokrasia na ki haki za binadamu kuanzia enzi za Mkapa hadi Kikwete. Shida alileta Magufuli kwa kusimamisha shughuli za vyama, kuanza kuteka na kuua wapinzani. Bila Magufuli tungeendelea kuwa Tanzania bora sana

Mnaomsifu JPM na kumuona shujaa ni watu wa kutazama kwa tahadhari kubwa. Ni watu wasiojali utu
Pumbaf wewe Kikwete kateka kuua na kungoa meno kabla ya Magu.Bila Magu Fisim 2015 ilikuwa inazikwaaa.
 
Masheikh wa BAKWATA wanasema chanzo ni TEC kwa sababu ni muislamu anayevaa ushungi.
TEC per se haina shida bali Katibu wa TEC Fr Charles Kitima ambaye ni mwanachama wa CHADEMA asiyejificha. Anatumia kiti chake cha UKatibu Mkuu wa TEC kwa masilahi yake vibaya.

Ndiyo maana Uaskofu wa Jimbo katika Kanisa Katoliki unampita hivihivi kama vile yeye siyo Mkatoliki. Juzi Pope kamchagua Askofu wa Geita Prosper Lyimo mwenye umri mdogo na kisomo kidogo kuliko yeye. Jiulize kwa nini yeye hachaguliwi kama ni kiongozi mzuri, mkweli na mwenye maasili??
 
Pumbaf wewe Kikwete kateka kuua na kungoa meno kabla ya Magu.Bila Magu Fisim 2015 ilikuwa inazikwaaa.
Kikwette hakuua mtu wala kuteka, ila kuna tukio la Dr Ulimboka aliyetekwa kipindi cha utawala wake. Huwezi kumlinganisha na Dikteta wa Chato ambaye alikuwa na kikosi chake cha kufanya utekeaji na mauaji. Magufuli alumnus Ben Saanane kwa bastola yake Ikulu. Magufuli ndiyo Rais wa kwanza duniani kumshambulia kwa risasi Mbunge wa chama cha upinzani akiwa anahudhuria vikao vya bunge.

Huwezi kumsafisha Magufuli kwa kumtaja JK
 
Weka kando chuki zako dhidi ya shujaaa wa Afrika. Unadhania Kelele alizopiga Polepole na wenzanke hazina impact kwa yaliyotokea Oktoba 29? Unadhani nyuma ya pazia kulikuwa hakuna wana CcM?
Magufuli alishamaliza safari yake ya hapa duniani. Hakuna haja ya kuendeleza mipasho kumpamba. Mwancheni Mwendazake apumzike zake huko aliko.
 
Kikwette hakuua mtu wala kuteka, ila kuna tukio la Dr Ulimboka aliyetekwa kipindi cha utawala wake. Huwezi kumlinganisha na Dikteta wa Chato ambaye alikuwa na kikosi chake cha kufanya utekeaji na mauaji. Magufuli alumnus Ben Saanane kwa bastola yake Ikulu. Magufuli ndiyo Rais wa kwanza duniani kumshambulia kwa risasi Mbunge wa chama cha upinzani akiwa anahudhuria vikao vya bunge.

Huwezi kumsafisha Magufuli kwa kumtaja JK
Wote wametokea kwenye mwamvuli ule ule wa Chama cha Wauaji. Mipango yote hiyo hupangwa huko huko kwenye chama chao chini ya M/kiti wao wa CCM. Huwezi tenganisha CCM na maovu yote yale na kumbebesha lawama M/kiti wao pekee.
 
Limefakamia futari ya Waislamu waliofunga, kisha linakuja hapa kuandika pumba.

Huwezi kumtenga Lissu na CHADEMA kwenye zile vurugu za 29/10
Allkuwa ndani miezi nane angewezaje kushawishi ?

Basi anawazidi sana uwezo wa hoja na kukubalika na ushawishi kama akisema kitu kinakumbukwa na mamilioni ya watu na kinatekelezwa miezi nane baada ya kutamka. Msimfunge. Anastahili kuwa kiongozi.

Ni tunu ya Taifa, mmetunukiwa na Mungu. Badala yake mnamfunga.

Afrika hii jamani!

Yani wale watu 30 kwenye cabinet na Ikulu na wale pinheads 400 bungeni ndio wanafaa kuzidi Tundu, wana mchango gani kuzidi Lissu, aliejitoa mhanga kukosoa serikali dhalimu hizi za Afrika mpaka anapigwa marisasi mchana bungeni.

Shame on us Waafrika. Very contemptible people. Watu tunaostahili kudharauliwa na dunia.
 
Hata Mtikila alikuwa na umaarufu sana enzi za uhai wake lakini hakuwahi kuwa Rais wa Tanzania hadi umauti unamkuta.
 
Sijui lengo la uzi wako, ila ni hivi, wanaccm karibia wote ni mazombie hawana uwezo wa kumpinga mwenyekiti wao maana kupitia madaraka yake ya urais, yeye ndio roho yao ya kubaki madarakani. Kama ni wanaccm walifanya hayo wangefanya baada ya mkutano wa kihuni uliompitisha mwenyekiti wao, na sio kusubiri NRNE ndio wafanye. Usizipe sifa wasizokuwa nazo hao maiti hai wa ccm.
Na hizi maiti hai za ccm ndio zinatugharimu leo. Tunafedheheshwa,tunatukanwa,tunaumizwa na kuvunjiwa heshima na hwa watawala wanaowaweka madarakani. Aisee cjui maksudi ya Mungu kuniacha nizaliwe tz lkn inauma sana
 
Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa.

Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu.

WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia mstaafu Kikwete kumpitisha rais Samia bila kufuata utaratibu wao wanaCCM ndio walihamasisha vurugu hiyo Oktoba 29.

Hoja yao kubwa ni kuwa Jakaya ana maslahi na kumuweka rais Samia.

CHADEMA isisingiziwe kabisa.
Hii ripoti yako imetokana na Tume Gani?
 
Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa.

Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu.

WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia mstaafu Kikwete kumpitisha rais Samia bila kufuata utaratibu wao wanaCCM ndio walihamasisha vurugu hiyo Oktoba 29.

Hoja yao kubwa ni kuwa Jakaya ana maslahi na kumuweka rais Samia.

CHADEMA isisingiziwe kabisa.
Hii ripoti yako imetokana na Tume Gani?
 
Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa.

Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu.

WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia mstaafu Kikwete kumpitisha rais Samia bila kufuata utaratibu wao wanaCCM ndio walihamasisha vurugu hiyo Oktoba 29.

Hoja yao kubwa ni kuwa Jakaya ana maslahi na kumuweka rais Samia.

CHADEMA isisingiziwe kabisa.
Hii ripoti yako imetokana na Tume Gani?
 
Kama mwaka 2015 asingetokea Magufuli kuwa mgombea wa CCM tusingefika hapa tulipofika.

Nchi ilikuwa ina improve ki demokrasia na ki haki za binadamu kuanzia enzi za Mkapa hadi Kikwete. Shida alileta Magufuli kwa kusimamisha shughuli za vyama, kuanza kuteka na kuua wapinzani. Bila Magufuli tungeendelea kuwa Tanzania bora sana

Mnaomsifu JPM na kumuona shujaa ni watu wa kutazama kwa tahadhari kubwa. Ni watu wasiojali utu
Kwenye hili kuna pointi
 
Back
Top Bottom