Vurugu zaibuka msiba wa watoto matajiri wa Arusha, mwandishi wa Ayo TV anyang'anywa camera

Wanataka zile kiki za billionea wa Arusha
Sorry to say this. Arusha ulimbukeni ni mwingi sana, I think kama magu asingeingia madarakani pangekuwa ni miliki ya watu wachache. Moja ya achievement ya magu ni kuleta law and order kwenye hiyo sehemu, na kwenye Hilo alikiwa ana-negotiate na mtutu wa bunduki, walivyoona jamaa Hana masihara wakatulia kimya na mavurugu ya kijingajinga yakapungua. Dar licha ya changamoto zake Pako fair sana kwa mtu yeyote na matajiri wengi hawana mentality za kijima kutaka ku-control watu.
 
Hahahahaha Arusha ilitaka kuwa kama
Criminal State 😂 watu wanaishi kibabe sana kwa jeuri ya hela! Mtu kumuua mwenzie kwa beef ni kawaida bora Magu alivyowanyoosha kidogo kwa mkono wa chuma.
 
Kimemkuta kitu kizito.RIP marehemu
 
Lini tutasikia Msiba wa watoto wa Masikini?.
 
Mkubwa ivyo kupigwa

Kihere here tu angekufa masikini kwa ajari wangeenda?
 
Misiba ya kitajiri media huwa zina fanya mtaji wa kuuza habari...mbona leo mtaani kwetu kafa jamaa kapuku sjawaona
Kapuku akifia guest house au kichakani anakula demu lazima watafika nyumbani mkuu
 
Arusha huko kila familia bilionea

Alafu hao ayo TV huko kila msiba ukitokea utasikia watoto wa mabilionea,sjui gari la kifahari [emoji1]

Ila siyo kila shughuli za watu wanataka makamera kamera pichapicha....

Ova
Naona hao waandishi sio uchawa ni mazoea tu. Nimeishi Moshi wale watu mtu akiwa na gari kali moja na nyumba ambayo haifiki thamani ya hata 400M tiyari anaitwa billionaire bila kuzingatia assets zake na liabilities. Unaweza shangaa mtu mwenye mali za thamani ya 700M naye anaitwa billionaire. Mtu kwao wana kagari kamoja tiyari ashaitwa wa kishua mtaani.

Watu wa Kaskazini wanauchukulia ubilionea kitu rahisi
 
Habari haijasema Kama mwandishi alikuwa ameanza coverage Bali alikuwa ndio anafika msibani, au Mimi ndio nimewaka ?

Kama Ni hivo nilivoelewa Basi Ni kosa kumnyang'anya vifaa vyake
Alitakiwa ahifadhi kwanza chombo chake cha kazi mahali salama. Sasa we kuingia tu na camera nje nje unategemea nini?
 
mnatumiaga vigezo gani kumuita mtu tajiri?au sijui bilionea?hii tabia iko sana kanda ya kaskazi haswa arusha.Kwani mkisema familia ya mfanyabiashara haitaeleweka?
Wachaga na watu wa huko kaskazini kwa ujumla, hata ukimnunulia makopo mawili ya pombe atapita kila kona anatangaza "aiseee yule mzee ni tajirii ana hela mbaya" ni watu wa kukuza mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…