Uchaguzi 2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

MUNGU WA RAISI WETU naomba diwani wa kata ya IKUTI RUNGWE asipite.

Miaka 15 bila chochote kipya alicholeta kipya kimaendeleo kata ya ikuti inatosha.
Mkuu kwani Chale kapitishwa tena na ccm hapo ikuti?
 
Nimefurahi sana kwa hawa watu kutwangana
Kitu kinachonifanya nachukia polisi na CCM vyote japo Nina ndugu polisi na baadhi wapo huko CCM pia..ila naogopa Hukumu ya Mungu kwa kufurahia,kuchekelea,kuunga mkono Udharimu..Mungu nilinde kwenye imani hii kamwe nisibadilike!
 
Vurugu CUF ya Lipumba zimehamia CCM mpya.
 
IMEISHA HIYO.
 
Mkuu kwani Chale kapitishwa tena na ccm hapo ikuti?


Bado hatujapata majibu wenda leo tukapata maana amejitapa lazima apite ahudumu miaka 20.


Sijui hata Ccm wanampitisha kwa manufaa yepi maana hata mpango kazi hajui yeye ni tuamri twa kipuuzi.

Mji wa ikuti unakuwa lakini unakuwa kihorela. Soko kuu halieleweki halina choo kataa haina sehemu maalumu y kuzikia maiti.

Kata haina stand ya magari wala ya maegesho ya msgari yanayobeba mazao.

YAANI UONGOZI UNAONA IKUTI BADO SANA KUMBE NDO KUMEKUCHA ILA BONGO ZAO ZIMELALA.
 
This is just the beginning


An iceberg in the ocean floats with one-seventh of its volume above the surface. A. What is the specific gravity of the iceberg relative to ocean water? (?ocean water = 64.0 lb/ft3) B. What portion of its volume (in%) would be above the surface if.
 
Ndiyo ujue kuwa polis wanapo wafanyiaga roho mbaya wapinzani hawafanyi kwa bahati mbaya
Hilo linafahamika kuwa siyo bahati mbaya na pia tunafahamu kuwa wanapewa maagizo toka upstairs,kinachosikitisha ni jinsi Katiba na Sheria zinavyovunjwa na wasimamizi wake ilhali hakuna anayewajibishwa.
Tuiondoe CCM madarakani ili nchi hii ipate Uhuru wake na wote tuufaidi.
 
M
Mwekiti aliyepita bila kupingwa ndio chanzo cha matatizo ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…