Uchaguzi 2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

Uchaguzi 2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

Hahahaa! Mtu kupita kwa wajumbe sio kazi ndogo lazima ushikwe na hasira[emoji23]
 
Eti
Kwa jirani hiiiiiiii bhaghosha! Huyo wa hilo jabali sasa! CCM kumeanza kunoga. Lazima tutoe movie mwaka huu.

Huyu kiongozi aligoma kumpa barua ya uteuzi mgombea wa udiwani mmoja aliyepitishwa na CCM mkoa kwa madai kuwa amepokea maagizo kutoka kwa Bashiru Ali kubatilisha uteuzi wa mgombea huyo! Ndipo ikabidi kinuke. Na aliyebeba jabali ndiye mgombea mwenyewe ambaye uteuzi wake ulibatilishwa na Bashiru Ali ambaye ni katibu mkuu wa CCM taifa kwa mujibu wa maelezo ya huyo mama.
View attachment 1541833
Bashiru tena kwa sauti ndogo.😁😁😁hiiiiihiiii bagosha.
 
Kwa jirani hiiiiiiii bhaghosha! Huyo wa hilo jabali sasa! CCM kumeanza kunoga. Lazima tutoe movie mwaka huu.

Huyu kiongozi aligoma kumpa barua ya uteuzi mgombea wa udiwani mmoja aliyepitishwa na CCM mkoa kwa madai kuwa amepokea maagizo kutoka kwa Bashiru Ali kubatilisha uteuzi wa mgombea huyo! Ndipo ikabidi kinuke. Na aliyebeba jabali ndiye mgombea mwenyewe ambaye uteuzi wake ulibatilishwa na Bashiru Ali ambaye ni katibu mkuu wa CCM taifa kwa mujibu wa maelezo ya huyo mama.
View attachment 1541833
Chama Cha kihuni hiki
 
Uwezi kumkata mtu kwa sababu ya rushwa, wakiwa wote wametoa, tofauti ni kiwango tu cha rushwa kati yao, ndio maana takukuru baada ya kujiridhisha uenda wote wato rushwa wameamua kuwaachia chama, kiukweli hamna hatakae kubali kukatwa!
Takukuru iliona wote wametoa Rushwa sasa ikiwadaka wote chadema itapita bila kupingwa nchi nzima. Vyombo vya dola muone wenyewe ni aina gani ya chama kinatuongoza.
 
Mwaka huu Uchaguzi ndani ya Ccm utakuwa mgumu sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uchaguzi mkuu unaweza usizidi huu motoo
 
CCM wasifikiri business as usual, mwaka huu watu hawatakubali kukatwa katwa kwa mapenzi ya mwenye kigoda!! lazima wakinukishe.
 
Hili liwe fundisho kwa viongozi wa ccm kuwa wako wahuni wamejipanga kufanya vurugu kukataa maamuzi ya viongozi na vikao halali. Hii haitakuwa lelema maana haya maamuzi yanaenda kubadilisha mazoea ya huko nyuna ya wanaccm yaliyo jichimbia mizizi na kitovu chake kikiwa ni uongozi wa awamu ya nne. Hao wahuni wanaonekana kwenye video wakamatwe wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria za nchi. Hii isichukuliwe kiurahisi rahisi hata kidogo tabia hiyo ikiachwa ikaota mizizi nchi hii haita tawalika. Hawa wawe wa mfano kuwafundisha wengine wenye mipango kama yao ya kufanya vurugu.

Wewe kama umetoa rushwa unawezaje kusema hakutakuwa na maelekezo kutoka juu. Kama Katibu mkuu Taifa kajiridhisha umetoa rushwa kwa wajumbe na viongozi wa mkoa na wakarudisha jina lako kimagumashi kwa nini asikuzuie? Khalafu unataka uongozi lakini hujui taratibu za kudai haki yako. Unaidai kwa kutumia tofali kumpiga mwanamke ambaye kesha sema ukweli wake. Huu ustarabu lazima ukomeshwe na hawa wawe wa mfano kwa wengine.
 
Hapo upinzani wajiandae hii ndo namna itakavyokuwa kutangaza mshindi maelekezo kutoka juu
 
Back
Top Bottom