Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mods Wanataka tujadili siasaa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja tuendelee kuwaletea nyuzi za siasaMods Wanataka tujadili siasaa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mamlaka nliopewa nafuta chaguzi zote mpaka 2025, mtaniwehua kwa sonona.
Hatulali kwa amani, vibarua vyetu ndio vinakaribia kuwaka moto, kila tunavyomuona yule "MFU KUTOKA UBELGIJI" anavyowakusanya mafuasi nchi nzima matumbo yanatuvuruga, halafu mwenyekiti wetu alijisahau alivyopata madaraka akalewa, akajitia ubabe na ujeuri, haambiliki wala hakushaurika, chama akakidharau, wanachama kaishawavuruga kwa kuthamini waliopindua karata toka upinzani. Mbobezi yupo kimya hatujui mikakati anayopanga. Yani ni zahama juu ya zahama.
Acha tuu uzi umepigwa vitaa wakishirikiana na TCRA hatimae...[emoji17][emoji17][emoji17]Pole mkuu ule uzi daah ulikuwa gumzo hatari
Ona mwenyewe hadi wanabebeana matofaliUsiniambie wanataka kugawana fito.
Hii inaitwa 'utatuzi wa mambo ya ndani ya chama'
In the good old days, it used to be one tenth of its volume. I have no idea as to how it changed so much in the past fifty years.An iceberg in the ocean floats with one-seventh of its volume above the surface. A. What is the specific gravity of the iceberg relative to ocean water? (?ocean water = 64.0 lb/ft3) B. What portion of its volume (in%) would be above the surface if.
Wakatwe wote wanaohisiwa kutoa rushwa tusije kuwa na viongozi mafisadi.CCM watajipalia makaa kwa hii hoja ya rushwa....ni Mgonjwa wa akili pekee yake atakayeamini kuwa kila atakayekatwa kwamba alitoa rushwa na aliyepitishwa hakutoa.
Hapa ni bora aliyepita apite waangalia namna ya kubadili utaratibu huko mbele, maana hapa zitatumika sababu tofauti kabisa za kuwaonea wengine kwa kisingizio cha rushwa.
Hivi kuna nini CCM wameambiwa wasiwe na tamaa ya uongozi, lakini wameshindwa uvumilivu wa mchakato wa kisiasa wa kuteua wagombea ngazi ya kwenda kugombea udiwani hadi wanashikana mashati