Tetesi: Vurugu zimeratibiwa kuharibu uchaguzi mkuu CHADEMA

Musachawenyu

Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
84
Reaction score
109
Ndugu zangu hizi habari ni kweli na hakika japo nimeona niziweke kama tetesi.

Kambi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe baada ya tathmini yao ya kina wamegundua kwamba Mbowe hana uwezo wa kumshinda Tundu Lissu kwenye box la kura.

Hivyo tayari wameandaliwa vijana kutoka mikoa mbalimbali wakiongozwa na vijana toka Tarime, Mbeya, Arusha na Kilimanjaro ambao wamepewa maelekezo ya kuleta vurugu katika mkutano Mkuu hapo tarehe 21 January.

Hali hiyo itapelekea uchaguzi huo kushindwa kufanyika na hatimaye Uongozi wa Chadema utamuomba msajiri wa Vyama vya siasa akubali wafanye uchaguzi huo 2026.

Mpango huu ukifanikiwa maana yake agenda ya SSH na Mbowe kumsaidia kusalia madarakani itakuwa imefanikiwa.

Hili jambo lazima litokee, stay and watch out.
 
Kazi ya MBOWE haina makosa
 
Unapotunga uongo uwe na akili basi
59D3EF07-D263-4B51-B64C-138E91991F8B.jpeg
 
Najua unaandika ukiwa kwenye kambi ya wafanya vurugu. Bilioni 12 hakuwezi itema
Hako kadada ni kanafiki!

Kanajifanya mtu wa haki mpenda kweli kumbe naye ni walewale tu kama CCM.

Asije akasema mimi nina chama wala upande! Sina upande wowote wala sina chama chochote! Isipokuwa mimi ni mpenda ukweli.
 
Uko sahihi kabisa Mkuu. Anajua kabisa mpango na jinsi Jeshi la Police limeandaliwa kumsaidia Mbowe
 
Anazingua sana anakuwa ni mnafiki mnafiki wakati logic ipo wazi ukiangalia mtiririko wa matukio yanayoendelea kwenye chaguzi zao Chadema.
Anajitoa ufahamu sababu ya tumbo tu. Maana yuko pale Makao Makuu na anahofia ataondolewa.

Sasa anatetea kitumbua chake. Hana lolote huyo kijakazi.
 
Back
Top Bottom