Musachawenyu
Member
- Aug 6, 2020
- 84
- 109
Ndugu zangu hizi habari ni kweli na hakika japo nimeona niziweke kama tetesi.
Kambi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe baada ya tathmini yao ya kina wamegundua kwamba Mbowe hana uwezo wa kumshinda Tundu Lissu kwenye box la kura.
Hivyo tayari wameandaliwa vijana kutoka mikoa mbalimbali wakiongozwa na vijana toka Tarime, Mbeya, Arusha na Kilimanjaro ambao wamepewa maelekezo ya kuleta vurugu katika mkutano Mkuu hapo tarehe 21 January.
Hali hiyo itapelekea uchaguzi huo kushindwa kufanyika na hatimaye Uongozi wa Chadema utamuomba msajiri wa Vyama vya siasa akubali wafanye uchaguzi huo 2026.
Mpango huu ukifanikiwa maana yake agenda ya SSH na Mbowe kumsaidia kusalia madarakani itakuwa imefanikiwa.
Hili jambo lazima litokee, stay and watch out.