Alafu wa Bongo wa siku hizi sijui kwa nini wanapenda sana kuishi huko location Kama wa Zimbabwe na wabangubangu! Zamani Wabongo walipenda sana kuishi town kwenye flats! Machafuko ya kianza huko South Mara nyingi wanao aanza kuvamiwa ni wageni wanao ishi location,kuwafikia wageni wanao ishi town inakua ngumu kidogo, maana town kidogo kuna patrol za Wazee na vitenga vyao full kuzunguka mitaani kuangalia usalama kwa raia!!
Kwa nini munakomaa kwenye nchi za watu kama hamutakiwi?
Ila hilo ni fundisho kubwa maana na nyinyi watz kila siku ni lawama oooh waarabu hivi, oooh wahindi vile... kumbe ni uvivu wenu wa kufanya kazi. Sasa na nyinyi mumekwenda huko mumeona moto unaowawakia.
Poleni sana lakini rudini nyumbani.
Msalimie shibekijijini
sio jambo baya, ila kuhatarisha maisha kulingana na maelezo yako sio poa.Kitu ambacho wengi hatufahamu ni experience sio lazima unachopitia wewe na mimi nipitie
Ubaguzi wa SA umeanza miaka nenda rudi siwezi kufanya biashara hata ya pili kwenye nchi ya kindezi kama hiyo.
Bora kubaki zangu huku Koromije nalima na kuvua samaki sio kushikwa mattyakko na wasauzi Afrika.
Biashara ya madawa ni simple sana kuifanya south.... Wabongo wengi kuing'ang'ania south Kuna Siri kubwa sana