Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Huyu ni mchambuzi kutoka Afrika Kusini aliyekuwepo nchini baada ya “uchaguzi” wa Oktoba 29, 2025.
Kwenye hii video anatoa maoni na uchambuzi wake juu ya kile kilichotokea na kile ambacho anahisi kinaweza kutokea.
Kamchana Samia kidiplomasia kwa kusema kwamba ni upumbavu kwa upande mmoja kudai kuwa umeshinda uchaguzi kwa kishindo ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya nchi halafu kwa wakati huo huo unaogopa maandamano au mikusanyiko ya watu walio wachache sana.
Kwa mlio na changamoto ya bando, angalieni kuanzia dakika ya 29 mpaka dakika ya 31.
View: https://youtu.be/vyZooTgyRao?si=JvfvhFi3n0iU1sR-